Hakuna cha kujadili, nimemsikia naibu anasema wamalize jioni swala la Africa Mashariki na kesho wapumzike.
Nashangaa kwa nini mwongozo wa Mnyika wasijadili kesho. hili taifa linaenda wapi?

Wapumzike kwa kazi gani?? au wanataka siku zindelee kuongezeka na posho nayo iongezeke.. hawajui hizo ni kodi zetu wanaendelea kutafuna huku sisi tunataabika.
Mjadala wao sijui kama utakuwa na tija yoyote maana Serikali imeshatafuna pesa zote za Wafanyakazi na kama alivyosema CAG NSSF inakaribia kufilisika....Na "serikali haina uwezo" wa kurudisha mabilioni ya pesa za Wafanyakazi ilizozikopa toka NSSF.