hahahahaha nilimsikia yule dada bungeni nikona aibuHalafu majuzi tu hapa waziri kasema serikali ya awamu ya tano imepunguza tatizo LA ajira
Sasa wewe unapingana na wazirihahahahaha nilimsikia yule dada bungeni nikona aibu
Umenena vyema mkuu. Serikali inapaswa kuelewa kuwa mikataba inaleta ufanisi kuluko ajira za kudumu.Nilishawahi kuleta wazo hapa ili nchi iendelee watu hawatakiwi kufanya kazi muda mrefu hivyo kama ilivyo sasa...
Kuanzia chuo, serikali ipeleke fresh candidates toka form6 wale cream wakachote elimu ya kisasa nje ya nchi warudi na elimu nzuri waje kuwa ndio Lecturers wafundishe what happens in real world sio kuja kukaririshana ma theories.
Kuwe na kazi za mikataba serikalini 3-5 years...Mitatu ya mwanzo lazma mtu aoneshe uwezo mkubwa na ufanisi katika kufikia malengo kisha ataongezwa miwili ya mwisho, akizengua tu baada ya mitatu ya kwanza out. Anaachia kiti wanaingia fresh and skilled candidates graduates wa chuo ambao wako more current na corporate trends management yote inabadilika.
Wale wanaotoka wanaweza kurudi vyuo wapewe mkataba as part timers wakapige brush vijana juu ya nini kinahitajika kazini maana watakuwa tayari na experience ya elimu kwa vitendo. Ama wanaweza kujiajiri tu na kufanya vitu vyenye tija kulingana na taaluma zao, kwa wale wa science wanaweza kwenda viwandani kusimamia processing pia kwa muda kabla ya kujiajiri.
Faida yake kuu watu watakuwa very active hamna kuzembea na kuzoea ofisi kiasi cha kuanzisha mianya ya ufisadi na wizi. Kazi ya serikalini isiwe sehemu ya kupumzikia kama ilivyozoeleka.
Ccm wanatakiwa kupewa semina hivi hivi ni ngumu, wapi mjengoni kwa ajili ya chamaUpande wowote mkuu
Sio mtanzania huyuKwani kuna tatizo la ajira? Hukumsikia Jenister Mhagama
Ni waziri huyoSio mtanzania huyu
Vijana tunawaombeni viongozi wote wa vyama vya upinzani mlioko bungeni na nje ya bunge tunaomba mtuombee ajira za walimu toka serikalini kwani miaka yote ajira zetu zilikuwa ni za moja kwa moja toka serikalini , nyie ndio watu pekee mnaoweza kutupazia sauti sisi wanyoge tulioko uraiani.
Tunaombeni tupazien sauti popote mlipo na hapo ndipo mtakuwa mmeonyesha ushirikiano katika kipindi hiki kigumu kwetu sisi walimu tarajali.
POA hongera kwa mchango wako.Hii nchi haitahiji tena walimu washakuwa wengi hasa wa art.... Selikali haina pa kuwapeleka
UNAJIFANYA UNAJUA WAKATI HUJUI KITU.sasa mwalimu unaandika hivi? kiswahili kibovu
kuna vijana unataka umuajiri, kaanza kukosea kwenye cover letter tu
be competent and get ready for any job out there
huyo mbowe yuko KIA na wema sepetu saa hizi