Wabunge ccm bado wapo kwenye kikao, wamekimbia bunge!!!!!!

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
Jamani wabunge wa ccm wamekimbia bungeni jioni hii eti wapo kenye kikao!!!!!!!!!!!!!
Peoples.............................................................................
 
Chadema wameachiwa bunge. Hali mbaya kwa sisiem.
 
Mbowe ndo katoka kuchangia anasema kama wamekimbia basi wapo tayari kuachia ikulu, anahimiza wananchi kufanya regime change
 
Wamuite huyu mpangaji wa magogoni atupe majibu!!

Jamani..bungeni kunaskitisha. Magamba wamekimbia..eti wanakikao..wangekuwa chadema hawapo ingekuwa ishu..kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Slaa upo wapi uende ikulu,afande nani,protokali,nani..wee ndesa..mwamunyange tuma helikopta geita ikamchukua Dr Slaa ale kiapo maana wamekimbia bunge na ****** katorokea brasil..
 
Ila leo ndio inaonyesha mikakati ya magamba kweli imekwisha. yaani bunge tupu serikalini yupo Lukuvi, AG na Mwanri CCM gawapo wapo tu upinzani. Nchi imemshinda JK mawaziri wake hawawajibiki kabissa na hawana uwezo wa kuwajibisha walio chini yao. Juzi hapa nilimsikia katibu mkuu mmoja akisema eti jukumu lao ni kushauri tu. sasa katibu mkuu akishauri tu nani anamamlaka ya kutenda?
Hii hatari tupu

Jamani..bungeni kunaskitisha. Magamba wamekimbia..eti wanakikao..wangekuwa chadema hawapo ingekuwa ishu..kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Jamani..bungeni kunaskitisha. Magamba wamekimbia..eti wanakikao..wangekuwa chadema hawapo ingekuwa ishu..kunya anye kuku akinya bata kaharisha

KAMATA WEZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN! Kama wanajua kukimbia wakimbie na ikulu
 
Slaa upo wapi uende ikulu,afande nani,protokali,nani..wee ndesa..mwamunyange tuma helikopta geita ikamchukua Dr Slaa ale kiapo maana wamekimbia bunge na ****** katorokea brasil..

retreat is one of the strategies to win a war.
 
Maskini chami, mbona viti bado vyeupe? Nipeni idadi ya wabunge wa magamba waliopo
 
Jamani wabunge wa ccm wamekimbia bungeni jioni hii eti wapo kenye kikao!!!!!!!!!!!!!
Peoples.............................................................................

CCM wanapaka wanja tu hawana jipya.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…