Kama ungeamua kunyamaza kimya bado usingepungukiwa kitu. Ila kwasasa umepungukiwa: Nayo ni heshima yako. Kwa namna hii ya uandishi, tegemea kudharauliwa.
Mnyama, unaweza kukopi na kupaste pia halitaharibika jambo, otherwise ucjali kwani hata miye nilishaexperience kitu hiki hapo awali, nilihuzunika japo inakupa changamoto kujua zaidi.