Wabrazil wa Yanga

Wabrazil wa Yanga

Pikabombz

Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
58
Reaction score
15
ImageUploadedByJamiiForums1404839896.414870.jpg
Na Coutinho naye juu!
 
Bakora ziko pale pale. Kama Brazil walivyofanywa kombe la dunia, mnyama atapiga wiki kutoa siku za mapumziko (yaani 5) ktk raundi ya kwanza kisha wiki kamili (saba- na siku za mapumziko) raundi ya pili. Alafu Wazee wa lamba lamba watawalamba yebo yebo- wabrazil tatu ka za holland. Kushnei.
 
hivi simba wamechanganyikiwa na wabrazil wa yanga poleni dana na leo mchana anashuka leo
 
Hivi ninyi mashabiki wa simba mna matatizo gani na timu yenu au hamjiamini na mnachokifanya!!!! nauliza hivi kwasababu zifuatazo; siku yanga ilipowasajili akina Mwapa na Asamoah mliongea sana kwa kuwabeza eti ni magalasa lakini mwisho wa siku mnakumbuka nini asamoah alivyowafanya simba kwenye mashindano ya kagame pia mnamkumbuka sana Mwape kwa namna alivyomtoboa kaseja pale taifa kwa kuipa yanga goli la ushindi, cha ajabu siku Simba mnamleta Daniel Akuffoh tena kwa kumpamba na sifa kedekede lakini mwisho wa siku akaishia kuifunga timu ya shule ya sekondari kule kwa mwenyeti wenu Rage, lakini pamoja na ugalasa wote wa akuffoh hakuna mtu wa yanga ambae aliongea sana, ila nashangaa watu wa simba wameacha kufuatila maendeleo ya timu yao wao wanafuatilia maendeleo ya timu nyingine au mnataka yanga wawasajili wachezaji gani manake wakiwasajili akina coutinho mnaanza kupaka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom