Wabongo wanatisha jamani dah!

NancyM

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
314
40
Mtanzania na mkenya waliingia
supermarket moja jjni
Dsm,walipotoka Mkenya akawa
anajigamba kwamba wakenya ni
wajanja kuliko wa Tz huku
akimwonyesha mTz chokolet tatu
alizoiba supermarket,mbongo
akamshawishi waludi tena ili na yy
akamwonyeshe ustadi wake
walipofika ndani Mtz akamwambia
mhudumu nataka nikuoneshe
mazingaombwe,hebu niletee
chokolet tatu, yule mhudumu
akaleta tatu jamaa akazila zote
mbele ya mhudumu halafu akasema
unaona nimekula chokolet tatu
lakini amini usiamini chokolet zako
zote zipo mfukoni kwa uyu jamaa,
mhudumu akamkagua Mkenya
mfukoni akachukua choklet zake
zote tatu duuuu nani mjanja

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mtanzania na mkenya waliingia
supermarket moja jjni
Dsm,walipotoka Mkenya akawa
anajigamba kwamba wakenya ni
wajanja kuliko wa Tz huku
akimwonyesha mTz chokolet tatu
alizoiba supermarket,mbongo
akamshawishi waludi tena ili na yy
akamwonyeshe ustadi wake
walipofika ndani Mtz akamwambia
mhudumu nataka nikuoneshe
mazingaombwe,hebu niletee
chokolet tatu, yule mhudumu
akaleta tatu jamaa akazila zote
mbele ya mhudumu halafu akasema
unaona nimekula chokolet tatu
lakini amini usiamini chokolet zako
zote zipo mfukoni kwa uyu jamaa,
mhudumu akamkagua Mkenya
mfukoni akachukua choklet zake
zote tatu duuuu nani mjanja

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

duUh..!..wabongo nyoko...nimeipenda.!!
 
Wanasema ujanja akili na sio nguvu teh teh teh

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mtanzania na mkenya waliingia
supermarket moja jjni
Dsm,walipotoka Mkenya akawa
anajigamba kwamba wakenya ni
wajanja kuliko wa Tz huku
akimwonyesha mTz chokolet tatu
alizoiba supermarket,mbongo
akamshawishi waludi tena ili na yy
akamwonyeshe ustadi wake
walipofika ndani Mtz akamwambia
mhudumu nataka nikuoneshe
mazingaombwe,hebu niletee
chokolet tatu, yule mhudumu
akaleta tatu jamaa akazila zote
mbele ya mhudumu halafu akasema
unaona nimekula chokolet tatu
lakini amini usiamini chokolet zako
zote zipo mfukoni kwa uyu jamaa,
mhudumu akamkagua Mkenya
mfukoni akachukua choklet zake
zote tatu duuuu nani mjanja

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkenya wawatu atakuwa alimaind huyoo.!!!!:peep:
 
Watanzania kwa wizi wanaongoza thats why tuna akina richmond, epa, iptl, na mafisadi wa kila aina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom