Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Yaani kuna watu wanaombea tusifanikiwe na Mzungu ndiyo afanikiwe, kweli sasa naanza kuamini kwa nini Mzungu ali practice Apartheid, hata hapa Tanzania Mjerumani ndiyo maana alitenga maeneo ya Uzunguni, Uhindini na Uswahilini na hatukuruhusiwa kuchanganyika, Mzungu aliogopa alichookiita racial pollution, sisi ni watu wajinga sana kwa kweli, hii ishu inakwenda beyond Magufuli na CCM, tukishinda haimaanishi kwamba matatizo yatakuwa yameisha na kwamba Upinzani watakosa cha kuongelea, ...