Mtu anapofanikiwa huchukiwa, onewa wivu, semwa vibaya n.k.
Mtu anapofuliwa jamii husherehekea,hushangilia,habari husambazwa kila kona.
Imefikia pahala hata mtu akiugua watu hufurahi na kutabiri kwamba hawezi pona.
Sasa juzi kuna mtu kafariki akiwa mamtoni..... huku bongo kuna jamaa wanafurahi waziwazi kwamba eti alisha faidi maisha vya kutosha,
Anayekuchukia always ni mshindwa na umemzidi vingiBinadamu hatupendani kabisa, mtu anakuchukia hata hakufahamu sembuse anakufahamu!
Hakuna cha roho mbaya hapo ndivyo maisha yalivyo maana na nye hela mkizipata mnaanza dharau mnaona waliokuwa hawa kama vile hawana akili na kwamba umaskini wamejitakia. Kwa hiyo ngoma drooNaam hii ni aina ya roho chafu.
Nitajaribu kutoa mifano kidogo