mafisto Member Joined Sep 29, 2016 Posts 7 Reaction score 2 Oct 11, 2016 #1 Sio jambo la kiungana kuona mwenzako ana fanyiwa kitendo kibaya au kuibiwa na kupita kama humuoni
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Oct 12, 2016 #2 Unamaanisha huyo anae kabwa leoni CUF na anaekabwa kesho CDM, mimi nimeangalia rangi ya nguo tu nikakuelewa, sawa bwana washakusikia ngoja wakuje.
Unamaanisha huyo anae kabwa leoni CUF na anaekabwa kesho CDM, mimi nimeangalia rangi ya nguo tu nikakuelewa, sawa bwana washakusikia ngoja wakuje.
vollies JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 748 Reaction score 446 Oct 12, 2016 #4 Hapo ni simba vs azam
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,575 Reaction score 89,221 Oct 12, 2016 #5 Ha ha ha dongo la siku! nimeipenda yeah we have to change
elineema William JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 576 Reaction score 288 Oct 12, 2016 #6 Kila mtu anapambana na hal yake