Wabongo sie ni NOMA!

Hahahahahaha, jamaa noma hao! jamaa mijasho hiyondani ya box.
 
Hiyo kali mkuu,tuwe makini sana na vifurushi vya namna hiyo.
 
Ebana eeeh nimecheka vibaya sana. Duuuuh kulaleki walahi.....

Loh! Jumapili naona nimeinza vizuri leo....yaaani bado nacheka......
 
huu utaalamu nimeufagilia ingawa hapa umefeli
 
Naupongeza umakini wa mwenye duka. Kwa kweli kwa ufungaji huo wa box, si rahisi mtu kudhania kwamba kwenye box kuna binadamu. Safi sana mwenye duka. Hizi ndiyo ajira ambazo JK anajigamba kwamba ameziongeza.
 
hahaha ................duh!
 
Kwa kewli inatakiwa vijana hao wapewe mafunzo na kisha waajiriwe katika jeshi la polisi - watasaidia kugundua mbinu mpya za majambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…