BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,651 Reaction score 12,030 Dec 25, 2016 #1 Unaangalia muvi ya Yesu waliyoigiza Wabongo Maria: Yosef nina Mimba Yosef: Yesu wangu! mimba ya nani? Unabaki unajiuliza Yesu ni yupi sasa?
Unaangalia muvi ya Yesu waliyoigiza Wabongo Maria: Yosef nina Mimba Yosef: Yesu wangu! mimba ya nani? Unabaki unajiuliza Yesu ni yupi sasa?
kuseranasera JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 622 Reaction score 390 Dec 25, 2016 #2 Ndio wabongo hao wanafikiria kwa kutumia manini sijui
moghasa JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 1,084 Reaction score 1,254 Dec 25, 2016 #3 Nimecheka sana!! Lakini hainizuii kumwita Paw aihamishie jukwaa husika.
Ranks JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,583 Reaction score 1,098 Dec 25, 2016 #4 Ndizo zao haswaa.,angalia kama movie za 'SAVIMBI' kuanzia Igunga,soweto Arusha na hata movie anayoicheza sasa kwa ndugu yetu Saanane,hazuvutii,hazieleweki na katu haziingii akilini kushawishi uziamini.
Ndizo zao haswaa.,angalia kama movie za 'SAVIMBI' kuanzia Igunga,soweto Arusha na hata movie anayoicheza sasa kwa ndugu yetu Saanane,hazuvutii,hazieleweki na katu haziingii akilini kushawishi uziamini.
J james bendui JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 717 Reaction score 744 Dec 25, 2016 #5 Kwa hy hiki ndio umeamua kutuletea badilika na jaribu kuleta mada kutokana na kauli mbiu