samahani ndugu, nilikuwa sijui, kumbe wewe ni atheist, kama sivyo basi uelewa wako utakuwa ni mdogo sana, kwa hiyo tatizo lako ww liko hapo, kumbe unapost hapa vitu usivyo na uelewa navyo. Siku zote jitahidi kupost tu yale unayoyajua na kuyaamini, leo nishie hapo hapoHalloween na Krismasi havichekani.
Ukishambulia Halloween nategemea ushambulie na Krismasi pia, kwani vyote tumeiga
La kama huwezi kushambulia Krismasi, halloween ni sikukuu nyingine tu kama Krismasi.
Tena ina afadhali maana haijidai kuwa ni siku ya kuzaliwa mwana wa mungu. Ingawa zote ni ubahau tu.
Oyoooo Natalia mbona ulipotea au mambo ya kimbunga sandy? Uko sawa lakn, hubby na wakid wako sawa?
Wewe unasema Haloween
mimi nilikuwepo Dar wakati hakuna anaeijua Valentine Day ni nini..
sasa siku hizi hiyo siku ikifika na jinsi ubize wa watu unavyoshika kasi
huwa nabaki mdomo wazi still
Leo ukiingia social media karibu zoote utaona mara ooh Halloween hiv Halloween vile cjui nini nini, co mbaya lakini Vijana wa cku hzi kuiga sana na being Fake mezidi au ndio tujue DSTv yenu ina Disney Channel huangaliagi Channel 10, Halloween huko bwana mtoni bongo ni cku tu kama cku zingine wewe mwenzangu na mimi kwe2 Kipawa inakuhusuje?
samahani ndugu,
nilikuwa sijui, kumbe wewe ni atheist,
kama sivyo
basi uelewa wako utakuwa ni mdogo sana,
kwa hiyo tatizo lako ww liko hapo, kumbe unapost hapa vitu usivyo na uelewa navyo. Siku zote jitahidi kupost tu yale unayoyajua na kuyaamini, leo nishie hapo hapo
Duh mshikaji kilinikumba wacha nichanganyikiwa.our basement is flooded,but everything is ok .kiama kilikaribia .thanks a lot for rembering me
I had Halloween party on saturday ,50 adults and kids we had a lot of fun.tulivaa consumes .Ni nzuri kwa watoto nilivaa my cat woman costume
Halloween ni sikukuu ya wamarekani tena basi watoto huvaa mavazi ya kitamaduni na kufanya maonyesho mashuleni, tena basi hufanywa na watoto kuanzia Nursery mpaka Grade 4 tu, hiyo huwa asb na pia usiku hupita wanagonga milango majumbani kwa watu na wanapewa candle, hivyo ni kuabudu mizimu ya kimarekani, kwani hutengeneza masanam ya aina mbali mbali na kupamba nje ya nyumba zao...haloween ndo nini? Me mshamba mwenzenu...
Halloween na Krismasi havichekani.
Ukishambulia Halloween nategemea ushambulie na Krismasi pia, kwani vyote tumeiga
La kama huwezi kushambulia Krismasi, halloween ni sikukuu nyingine tu kama Krismasi.
Tena ina afadhali maana haijidai kuwa ni siku ya kuzaliwa mwana wa mungu. Ingawa zote ni ubahau tu.
wewe una mrengo wa ki-Alshabaab so sijadiliani na wew
huwezi kuwa na akili sawa ukukilinganisha halloween na christmas
So Nyerere iko fit na Halloween sio?? bwahahaaaaaaaaI live in NY.costume ya Nyerere kibao
Leo ukiingia social media karibu zoote utaona mara ooh Halloween hiv Halloween vile cjui nini nini, co mbaya lakini Vijana wa cku hzi kuiga sana na being Fake mezidi au ndio tujue DSTv yenu ina Disney Channel huangaliagi Channel 10, Halloween huko bwana mtoni bongo ni cku tu kama cku zingine wewe mwenzangu na mimi kwe2 Kipawa inakuhusuje?
Make it rain.................
wewe una mrengo wa ki-Alshabaab so sijadiliani na wew
huwezi kuwa na akili sawa ukukilinganisha halloween na christmas
Halloween ni sikukuu ya wamarekani tena basi watoto huvaa mavazi ya kitamaduni na kufanya maonyesho mashuleni, tena basi hufanywa na watoto kuanzia Nursery mpaka Grade 4 tu, hiyo huwa asb na pia usiku hupita wanagonga milango majumbani kwa watu na wanapewa candle, hivyo ni kuabudu mizimu ya kimarekani, kwani hutengeneza masanam ya aina mbali mbali na kupamba nje ya nyumba zao
C wezi mkusema moja kwa moja ni za kishetani ila Marekani sikukuu hiyo inaambatana na kutengeneza maboga kwa kuyatoboa kwa mfano wa sura ya mtu au mnyama au kitu fulani, na pia watu wengine huutengeneza maonyesho ya mafuvu ya watu na wanyama na watu hupita kuangalia, sasa sijui chambua hapo na mwenzangu, ukifanya hivyo Bongo inakuwajekwa hiyo ni sherehe za kishetani?
The meaning of Halloween goes back to over 2000 years ago. The original holiday goes back to the Celts. This holiday was called Samhain. It is believed that spirits were, and/or are, allowed to come back to earth to visit. [/QUOT
eehh makubwa hayo sasa hiyo si kama zile ibada za mizimu???hapo wanatambika tu hao