Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,343
Hivi yuko nchi gani sasa hivi?, mara ya mwisho nilimsikia eti amefanikisha kuleta mkutano uliokuwa ukifanyika Malaysia kwa miaka zaidi ya 15 hapo 2013, hivi ni kweli tunahitaji mikutano???, nadhani matatizo ya nchini kwake hayampi shida..
Hawa watu wa "source" kila siku huwa wanakaa wapi?au ni uvivu wakusikiliza,kusoma au kutazama vyombo vya habari,acheni ujinga nyieSource pls?? Picture plz??
wanakuja kutuongezea foleni Mlimani city&Airport na hiyo mikutano yao iliyo 'TIJALESS' kama semina elekezi! Afadhali ntakuwa rufiji kwa Bibi hiyo 2013Hivi yuko nchi gani sasa hivi?, mara ya mwisho nilimsikia eti amefanikisha kuleta mkutano uliokuwa ukifanyika Malaysia kwa miaka zaidi ya 15 hapo 2013, hivi ni kweli tunahitaji mikutano???, nadhani matatizo ya nchini kwake hayampi shida..
Hivi yuko nchi gani sasa hivi?, mara ya mwisho nilimsikia eti amefanikisha kuleta mkutano uliokuwa ukifanyika Malaysia kwa miaka zaidi ya 15 hapo 2013, hivi ni kweli tunahitaji mikutano???, nadhani matatizo ya nchini kwake hayampi shida..
Ni wale vijana waliotumwa hapa kujibu mashambulizi!Hadithi za abunuasi