Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,111 Reaction score 34,946 May 30, 2014 #1 NI SANDUKU NA NI USAFIRI Mkulima mmoja nchini China ametengeneza sanduku ambalo pia ni kama pikipiki. Sanduku hilo lina matairi mawili, na linaweza kubeba watu wawili, na linaweza kwenda umbali wa kilomita 60 kwa kasi ya kilomita 20 kwa saa. Linatumia nishati ya betri. Mkulima huyo He Liang ametumia miaka 10 kuunda sanduku hili. Lina nafasi ya kutosha kuweka nguo na likiwa tupu lina uzito wa kilo 7.
NI SANDUKU NA NI USAFIRI Mkulima mmoja nchini China ametengeneza sanduku ambalo pia ni kama pikipiki. Sanduku hilo lina matairi mawili, na linaweza kubeba watu wawili, na linaweza kwenda umbali wa kilomita 60 kwa kasi ya kilomita 20 kwa saa. Linatumia nishati ya betri. Mkulima huyo He Liang ametumia miaka 10 kuunda sanduku hili. Lina nafasi ya kutosha kuweka nguo na likiwa tupu lina uzito wa kilo 7.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 May 30, 2014 #2 Mkuu miaka 10?
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 May 30, 2014 #3 Wabongo bata mkuu
M mikamnyambi Member Joined May 31, 2014 Posts 9 Reaction score 2 May 31, 2014 #4 Mzee n very creative....hongera