FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 7,627
- 9,321
mama ako anajua hayo?Siku zingine ni vyema kama ukiwa unajijua kabisa kuwa una Upumbavu wa Kurithishwa na una ' Uandamizi ' nao kabisa basi ukiona Mada ambazo Ubongo wako hauwezi Kukabiliana nazo katika Kuzidadavua Kimantiki na Kiuhalisia wake ni vyema ukanyamaza tu ili uwapishe ' Great Thinkers ' waje Wakufundishe jinsi ya Kufikiri na hata Kutumia Akili ambazo si tu huna lakini pia hukubarikiwa nazo na Mwenyezi Mungu kwakuwa alikuumba Makusudi ili uje kuwa Kielelezo bora cha Wapumbavu wote unaowawasilisha hapa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app