Kabla ya kujibu kwanza define mbishi ni mtu gani, na mwenye kibui ni mtu wa aina gani.
Maana idea yangu ya mbishi na mwenye kiburi inaweza kuwa tofauti na yako.
Mi naweza kuona mwenye kiburi ni yule asiyechangia kitu kabisa, wewe ukaona yule anayejibu kwa ujuaji sana kuwa ndiye mbishi na mwenye kiburi.