Wababe wapo kila mahali!!!

kwahio hata kama mtu hataki kula atakula kibabe!!!

enzi zetu ilikuwa ukileta za kuleta unabanwa na miguu pua inabanwa halafu unamiminiwa uji mdomoni, ukiachiwa pua wakati unahangaika na pumzi uji unapenya!!! ahhh mama, mungu akuweke pema huko uliko
 
he he he nakumbuka aisee na mashavu yanaminywa...hapo uji unateleza kooni tu....baada ya hapo lazima ukohoe sana....
 
enzi zetu ilikuwa ukileta za kuleta unabanwa na miguu pua inabanwa halafu unamiminiwa uji mdomoni, ukiachiwa pua wakati unahangaika na pumzi uji unapenya!!! ahhh mama, mungu akuweke pema huko uliko

Haaa haaaa!!kibaya zaidi uji wenyewe sukari inahesabiwa punje!! Dadeeki hawa jamaa wa siku hizi mkate usipokuwa na jam,blueband utaukuta chini ya kiti!!! Na ukimlazimisha hukawiii kuambiwa....dadiii/mamiii...this is against human rights!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…