Wababa mupooooo?

Duh!hii ni kali ya mwaka!
Baba muongo,mama muongo na mtoto muongo(familia ya wahongo)!
 
Yaani ni majanga kwa kweli,kuna saa huwa nawaangalia wanangu najisemea kweli,hawa wote watatu ni wa kwangu au kuna chembe ya mbegu zingine.Hakuna dhambi kubwa wanawake watakaoipata kama hii ya kubambikia wanaume watoto.Unalea tangu mimba,unamsaidia mama kwa hali zote,unajikunja unasomesha ukidhani ni mtoto wako wa damu,kumbe toto la jamaa mwingine.Aaagggrrr
 
Mungu awasamehe wanawake wote duniani!
 
Hadithi yako inatufundisha tusiwe waongo.
 
ndo maana unatakuta toto lina tabia za ajabu mpaka unashangaa hii tabia ni ya wapi! ...kumbe nafsi inataka kumjua baba yake halisi..
 
Teh teh teh!tabia hii ipo Afika au dunia nzima?

WAAFRIKA tumezoea uvivu, tamaa na uongo uongo, yaani mtu ameolewa cha ajabu anamabeheha kumi kidogo akiulizwa oooshida, shetani. ata nisiseme mengi maana nasikia harufu ya tindikali
 
hahaha naona wengine wanashusha.nyuzi ngoja namm nishushe uzi wangu.kuna baba mmoja alizaa nje ya ndoa baadae mtoto akakua akaamua kumwambia mkewe kuwa ana mtoto nje.hapo walikua na watoto 3 ndani ya ndoa, kwa uvumilivu mkubwa mama akamsamehe.baada ya miaka miwili akamwambia tena mkewe samahan mke wang nimeteleza nimezaa tena nje.mwanamke akamwambia nimekusamehe mume wangu bado nakupenda.mwanaume akawa na wasiwas na akakosa amani kabisa akijisemea huyu ni mwanamke wa jins gani anaesamehe tuu.maisha yakaendelea na hapo watoto ni wakubwa wapo vyuon tayari.siku moja wakiwa wote nyumbani mke akamwita mumewe na wanawe akamwambia mume wangu unawaona hao watoto wetu 3.hapo? mmoja tu sio wa kwako na sitakuambia kamwe!.mwanaume akahaha anaangalia huyu macho kama yake huyu tabasam kama lake mwingine mwendo kama wake akawa anasema ni yupi ni yup mbona wote nawapenda? mbona nimewasomesha kwa pesa mingi wote? hatimaye yule mzee akafa kwa presha kimbe mkewe alitania tu ili kumpa utulivu kwenye ndoa yake...
 
HONGEAR MKEMIA MKUU HAKUANA KULEA TEBNA BASTARDS!!!!! heheeeee Thank you DNA hii taarifa hasa ni kwa WANAWAKE MPO!!!
 
Unaweza kukuta unalea mtoto wa jirani
 
Lakini mkuu hizo ni statistics za watu ambao tayari wana doubts kuhusu ubaba wa hao watoto, hata ikafikkia kupelekana kwa mkemia mkuu so sio ajabu kuwa na majibu ya namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…