Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,549
Nianze kwa kuseema,
Madhara yaliyotokana na sumu kali ndani ya mto Mara ni makubwa sana. Yataathiri kizazi hiki na kijacho. Tutegeme kuona kesi za kansa zikizidi kushamiri kanda ya ziwa siku za Usoni.
Mwanzo serikali ilisema hali ya hewa ndio iliyopelekea maelfu ya samaki kufa ndani ya mto Mara ...leo serikali hiyo hiyo baada ya wazalendo kipiga kelele...imekubali na kuwatoza billioni Moja mgodi wa North Mara...kwa mauaji hayo ya samaki na raia watakaokufa hivi karibuni kwa kansa.
Je, waliotoa hiyo report ya uongo bado wanakula mshahara? TAKUKURU kazi yenu ni nini sasa? Hapa kuna rushwa ya wazi kabisa!
Ingefaa Waziri wa Maxingira, na wasaidizi wake wote wajiuzulu. NEMC wote wajiuzulu na team mpya kuundwa.
Sasa hiyo billioni moja itawanufaisha nini wahanga wa uchafuzi huo wa mazingira?
Kwa hali ilivyo hiyo hela si itaishia mifukoni mwa washenzi wa kamati ya uchunguzi waliosema Samaki wamekufa kwa sababu ya hali ya hewa?