Mpaka sasa waliopimwa ni Kenya ni 13,872
Wakenya tuendelee kukumbushiana, hiki kitu kiko mtaani kimezagaa na kutamalaki, tuchukue tahadhari, kunao bado hatuonekani kujali, vijana bado wanakusanyika na kusongamana kwa makundi, jameni hiki kirusi ni ile tu kinaonekana kuwa na huruma kwa Waafrika maana sioni kikubwa tunachokifanya ambacho tunaweza tukasema ndio sababu kuu hatufi kwa mamilioni Afrika.
Ndio maana baadhi ya mataifa ya Kiafrika yameamua kukaidi ushauri wowote na kutokuchukua tahadhari yoyote, wapo wapo tu.
Hio ni sawa na 0.04% ya population ya Kenya.
Vipi tutamaliza lini? au siku tunamaliza wale waliopimwa mwanzo hali zao zitakuwaje🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatupimi tumalize, hakuna nchi yenye uwezo wa kumaliza kupima hata wale wenye uchumi mara 1,000 zaidi yenu.
Tunapima kwa kutumia mikakati.
Nyie naona ile 53 ya juzi ilisababisha mtafaruku kwa wakuu hadi wameamua kuufyata, hawataji tena, waziri wenu sijui nini kilimuingia ghafla akaamua kusema ukweli, mpaka mwenyewe akajisema sehemu kwamba ameamua kusema ukweli.......
Zanzibar wameachiwa uwanja waendelee kutaja taja idadi yao.
Hiki kitu kinapaswa kutajwa kama kilivyo, hata mabingwa wa usiri akina Iran, Urusi hata mapanki wa Korea Kaskazini wameamua kutaja tu.
Yetu imetoka tena leo, sasa tuko 254. Mapambano bado yanaendelea...
Nasikia huko sasa mme-abandon "mass testing🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa huu sio wa kukamiana, naona kuna ka ligi flani ya baadhi ya Wakenya na Watanzania....hivi tuna ubavu wa kuchekana?Mumetuzidi kwa active cases maana kwetu 69 wamepona.
Hayo " umeskia" hatuwezi kuyajadili.
Hio ni sawa na 0.04% ya population ya Kenya.
Vipi tutamaliza lini? au siku tunamaliza wale waliopimwa mwanzo hali zao zitakuwaje🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo umechukua hatua gani mkuu!!!Kutangulia sio kufika hivyo msijififu, tupeni muda watanzania tutawafikishia idadi hiyo na kuzidi baada ya siku chache tu
Huku raisi wetu yuko kwao, nchi yetu kamkabidhi bwana yesu na wachungaji wahangaike nayo
Huu ni mzaha, na hatuko tayari kuona usaha
Yaani unamsubiri rais akuchape kwanza kabla ya kuchukua tahadhari?Kutangulia sio kufika hivyo msijififu, tupeni muda watanzania tutawafikishia idadi hiyo na kuzidi baada ya siku chache tu
Huku raisi wetu yuko kwao, nchi yetu kamkabidhi bwana yesu na wachungaji wahangaike nayo
Huu ni mzaha, na hatuko tayari kuona usaha
Kipindi hiki hakuna tahadhari ambayo ikichukuliwa inaweza kuleta impact yeyoteYaani unamsubiri rais akuchape kwanza kabla ya kuchukua tahadhari?
Hilo dongo la mwisho ni la kwetu au...?Mpaka sasa waliopimwa ni Kenya ni 13,872
Wakenya tuendelee kukumbushiana, hiki kitu kiko mtaani kimezagaa na kutamalaki, tuchukue tahadhari, kunao bado hatuonekani kujali, vijana bado wanakusanyika na kusongamana kwa makundi, jameni hiki kirusi ni ile tu kinaonekana kuwa na huruma kwa Waafrika maana sioni kikubwa tunachokifanya ambacho tunaweza tukasema ndio sababu kuu hatufi kwa mamilioni Afrika.
Ndio maana baadhi ya mataifa ya Kiafrika yameamua kukaidi ushauri wowote na kutokuchukua tahadhari yoyote, wapo wapo tu.
Ha ha haaaa bora umeuliza hili ni janga utani haufai na kama kakusudia ni dalili mbaya sana za kuchukiana majirani.Hilo dongo la mwisho ni la kwetu au...?
Kwenye hii corona majirani tunaonyeshana rangi zetu halisiHa ha haaaa bora umeuliza hili ni janga utani haufai na kama kakusudia ni dalili mbaya sana za kuchukiana majirani.