johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,630
- 145,352
Nchi kadhaa za kiarabu ikiwemo Qatar wameonesha nia ya kutaka Kujijenga upya Gaza ili Wananchi wa Palestine wapate makazi ya Kuishi kama awali
Lakini msimamo wa Netanyahu bado ni Ule Ule Kwamba baada ya Vita Gaza itakuwa eneo la Israel kiulinzi na kimaisha
Lakini msimamo wa Netanyahu bado ni Ule Ule Kwamba baada ya Vita Gaza itakuwa eneo la Israel kiulinzi na kimaisha