Waarabu wabaya sana, CUF na Wazenji wanataka kurudisha waarabu

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Mungu si Ashumani wala John ,wanafiki wanaibuka ,inakuwaje waarabu wabaya,vyama vingine vinataka kurudisha waarabu na kuwakaribisha tena katika arzi yetu ,ili kurudisha ukoloni ,ni maneno ya Lukuvi kanisani na Asha Bakari kwenye bunge maalum la Katiba na pia ni usemi wanaolishwa waTanzania na Chama Cha CCM.

Ndani ya mwezi wa Oktoba, 2014 yeye na baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walikwenda Oman na kuna sehemu ya Bagamoyo wamepewa waarabu kuliendeleza ,hivi hapo akiulizwa ,Mbona mlisema tunataka kurudi kuja kuleta utawala wa kisultani ,sijui angejibu nini,maana usione hivyo vilemba jamaa wanajua kiswahili kama hawana akili vizuri,ila huwadhanii.

IMG-20141023-WA0000-564x272.jpg

Mwaka juzi JK alienda Oman kuomba wawekezaji, na wiki hii Pinda naye alikwenda huko huko kwa lengo hilo la kuleta wawekezaji. Jee JK na pinda wako CUF?
 
Ulikuwa umenikera kwa heading, lakini ulipoanika uhuni wa LUKUVI nimekuelewa.
 
Nadhani huelewi usihofu waarabu kurudi,je wachina na wazingu kutia saini mikataba ya ardhi miaka 99 si kukaribisha wakoloni?,
 
Mungu si Ashumani waarabu wabaya,vyama vinataka kurudisha waarabu na tunataka kurudi kuja kuleta utawala wa kisultani
Swadakta!, kimtiacho mtu najisi, sii kiingiacho, bali kitokacho!.

Waarabu wawekezaji ni watu wazuri sana kwa kulisaidia taifa letu changa kwa kutumia petrodollars zao na kuja kuwekeza huku kwetu na kutulea maendeleo!. Wanaotaka kurudisha usultani ni wale vizalia vya yule mvamizi aliyetoka Omani, aliyekuja pasi na hodi, na kuvamia visiwa hivyo na kujwalia viwe vya kwake as if hakukuwa na wenyewe!, wenyewe walipoamka, wakamfurusha baru!, katika yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyovikomboa visiwa hivyo kutoka mikononi mwa mkoloni Mwarabu., ni kwa vile alikuja pasi na hodi, ilimbidi na kuondoka bila kuaga!.

Aliyeondoka ni Sultani tuu, lakini vizalia vikabaki na sasa ndivyo hivi vitimbakwiri vinavyotaka kutuletea chokochoko!.

Kila uchao, mwarabu hushinda kwenye sanduku la kura lakini kamwe hapewi nchi! kwa sababu watu walikula kiapo cha Kuyalinda Mapinduzi kwa gharama yoyote!. Sasa huyo Mwarabu ambaye huwa anashinda siko zote lakini hapewi nchi kwa sababu atamrudisha Sultani!. Hii ikimaanisha Waarabu waje kama wawekezaji tutawapokea kwa mikono miwili, ila Sultani hata aje na makontena ya yalijaa minoti!, kamwe hataruhusiwa!.

Mapinduzi Daima!,

Pasco
 
Chuki zenyu kwa Waaraabu si rangi yao ya Uarabu bali kilichomo mioyoni mwenyu dhidi ya Waaraabu ni chuki dhidi ya DINI waliyo nayo i. e Uislaam wao.

Na hilo alilithibitisha yule Lukuvi kunako kauli zake dhidi ya nchi ya Zanzibar kutaka kujitenga.

Kwanini mwajaribu kutakaleta huja dhaifu na za kichovu kiasi hiko....!?

Basi tutawaita hao Waisrael waje kuwekeza Zanzibar nzima ili myoyo yenyu ifurahike.

Mwajifanza hamuoni unyama na Ulaanifu wa hao European countries wenyu sio....!?

Balaa zoote zitokeazo hata kwa hao Arab countries chanzo huwa ni mapandikizi ya hao muaabudiao na kukutengezeeni mikataba ya kidhwaalimu.

Ahsanta na nipo kipembeni hapa nasubiri mrejezo wenyu.
 
Mbona ccm inawapa ubalozi?

Unafiki nakuambia ni kitendo cha Ulaanifu.

Wadhani hawafahamu wema na staha za za hao nduu zetu biniyadam wenzi wetu Waaraabu....!?

Ni kujivika upunguani na ujaahili wa muda, Walaakini haja ziwakinzapo wanafahamu fika mkono wao wa karibu ni hao wawapingao.
 
Swadakta!, kimtiacho mtu najisi, sii kiingiacho, bali kitokacho!.

Waarabu wawekezaji ni watu wazuri sana kwa kulisaidia taifa letu changa kwa kutumia petrodollars zao na kuja kuwekeza huku kwetu na kutulea maendeleo!. Wanaotaka kurudisha usultani ni wale vizalia vya yule mvamizi aliyetoka Omani, aliyekuja pasi na hodi, na kuvamia visiwa hivyo na kujwalia viwe vya kwake as if hakukuwa na wenyewe!, wenyewe walipoamka, wakamfurusha baru!, katika yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyovikomboa visiwa hivyo kutoka mikononi mwa mkoloni Mwarabu., ni kwa vile alikuja pasi na hodi, ilimbidi na kuondoka bila kuaga!.

Aliyeondoka ni Sultani tuu, lakini vizalia vikabaki na sasa ndivyo hivi vitimbakwiri vinavyotaka kutuletea chokochoko!.

Kila uchao, mwarabu hushinda kwenye sanduku la kura lakini kamwe hapewi nchi! kwa sababu watu walikula kiapo cha Kuyalinda Mapinduzi kwa gharama yoyote!. Sasa huyo Mwarabu ambaye huwa anashinda siko zote lakini hapewi nchi kwa sababu atamrudisha Sultani!. Hii ikimaanisha Waarabu waje kama wawekezaji tutawapokea kwa mikono miwili, ila Sultani hata aje na makontena ya yalijaa minoti!, kamwe hataruhusiwa!.

Mapinduzi Daima!,

Pasco
wanataka kurudi kivipi wakati ukoloni ulishapita na kuna sheria za kimataifa?,au ulishaona nchi gani ukoloni umerudi?.
hao waarabu waoman unaowadhania vibaya ndo nchi yenye amani pale mashariki ya kati kuliko nchi yeyote hapo na wana mahusiano ya kihistory na zenj.
ni sawa tu na ufaransa ilivyo na mahusiano mazuri na ya karibu na nchi za africa zinazoongea french lakini mpaka leo hatujaona france akirudisha koloni lake huko.
 
Chuki zenyu kwa Waaraabu si rangi yao ya Uarabu bali kilichomo mioyoni mwenyu dhidi ya Waaraabu ni chuki dhidi ya DINI waliyo nayo i. e Uislaam wao.

Na hilo alilithibitisha yule Lukuvi kunako kauli zake dhidi ya nchi ya Zanzibar kutaka kujitenga.

Kwanini mwajaribu kutakaleta huja dhaifu na za kichovu kiasi hiko....!?

Basi tutawaita hao Waisrael waje kuwekeza Zanzibar nzima ili myoyo yenyu ifurahike.

Mwajifanza hamuoni unyama na Ulaanifu wa hao European countries wenyu sio....!?

Balaa zoote zitokeazo hata kwa hao Arab countries chanzo huwa ni mapandikizi ya hao muaabudiao na kukutengezeeni mikataba ya kidhwaalimu.

Ahsanta na nipo kipembeni hapa nasubiri mrejezo wenyu.
Mkuu Wabara, inferiority complex ni tatizo kubwa, kiasi kwamba kila baya kumhusu Mwarabu, unalitazama kwa miwani ya udini!. Hatuna chuki yoyote na Mwarabu, wala Dini ya Uislamu tena kwa baadhi yetu huku bara ni Wakristu, ila tukizitaka "zile raha" twaenda "uzwazi", tukikutana na watokao Tanga, twachanganyikiwa na Zanzibar ndio usiseme!. Chuki gani hizo dhidi ya Waislamu unazozizungumzia wewe wakati sisi Wakristu tunawapendeni sana tuu?!.

Na kuhusu Waisraeli, baadhi yetu sisi Wakristo, tuna msimamo huu
[h=3]Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?[/h]

Kuwa makini maana yaonekana weye huhitajii kugutiwa bali umbioni kutenewa kama khabari zako za kichechefu uzitoazo hapa.

Ule mchezo wa mabarikio ya kuwaondosha mapepo naamini wauyua fika.

Namaanisha
 
Attachments

  • 1414668746402.jpg
    1414668746402.jpg
    10.1 KB · Views: 342
Kwani uarabu ndiyo uislam? Njoo tujadiliane.

Chuki zenyu kwa Waaraabu si rangi yao ya Uarabu bali kilichomo mioyoni mwenyu dhidi ya Waaraabu ni chuki dhidi ya DINI waliyo nayo i. e Uislaam wao.

Na hilo alilithibitisha yule Lukuvi kunako kauli zake dhidi ya nchi ya Zanzibar kutaka kujitenga.

Kwanini mwajaribu kutakaleta huja dhaifu na za kichovu kiasi hiko....!?

Basi tutawaita hao Waisrael waje kuwekeza Zanzibar nzima ili myoyo yenyu ifurahike.

Mwajifanza hamuoni unyama na Ulaanifu wa hao European countries wenyu sio....!?

Balaa zoote zitokeazo hata kwa hao Arab countries chanzo huwa ni mapandikizi ya hao muaabudiao na kukutengezeeni mikataba ya kidhwaalimu.

Ahsanta na nipo kipembeni hapa nasubiri mrejezo wenyu.
 
Mkuu Wabara, inferiority complex ni tatizo kubwa, kiasi kwamba kila baya kumhusu Mwarabu, unalitazama kwa miwani ya udini!. Hatuna chuki yoyote na Mwarabu, wala Dini ya Uislamu tena kwa baadhi yetu huku bara ni Wakristu, ila tukizitaka "zile raha" twaenda "uzwazi", tukikutana na watokao Tanga, twachanganyikiwa na Zanzibar ndio usiseme!. Chuki gani hizo dhidi ya Waislamu unazozizungumzia wewe wakati sisi Wakristu tunawapendeni sana tuu?!.

Na kuhusu Waisraeli, baadhi yetu sisi Wakristo, tuna msimamo huu
[h=3]Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?[/h]
Pasco

Mkitaka " ZILE RAHA" mnaenda "USWAZI" kwani za kanisani zimewakifu na kuzichoka!?!? Au huko mchunga kondoo kashawakinai kondoo wake? Maana "ZILE RAHA" kanisani ni moja ya ibada ambayo ni lazima mchunga kondoo aitekeleze.
 
Mkuu Pona,

Nawe ndo nini kumchochojoa hoyo Team Kantonta hadharani hapa....!?

Tabia ya hoyo Pasco wa PPRA ni kama za huyu tapeli hapa chini.

Na ama kukhusu hayo machafu, wao hawana rukhsa bali wake zao ndo hutolewa mapepo na kuwafurahisha wachungaji wao na ndipo kauli ya "NDIYO BABA" hutumika mno kunako hiyo IBADA yao.
 
Attachments

  • 1414680628973.jpg
    1414680628973.jpg
    44.7 KB · Views: 227
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom