na umasaini nako walipita waarabu na kulowea ndio maana jamii yao ipo nyuma kimaendeleo na kielimu. Matokeo yake kundi la vijana wanaishia kwenda kumpa "company" mmoja wao kulinda eneo dar, all day wakati aliyeajiriwa ni mmoja tu.
Na dont forget haiti ilikua koloni la saudi arabia.
acha ubaguzi wewe,na uache kutukana watu,je ni watanzania wangapi ambao si waarabu wameajiriwa nakupata riziki zao kwa waarabu? Bakhressa tu ametoa ajira kwa waafrika watanzania zaidi ya laki3 kwa taarifayako.
Mambo ya KIGERUMANI hayo........... Mwenzio nimerekebisha, wewe je?
NB: Wanyamwezi twasema Mlugaluga. Hiyo Mrugaruga, wee Mnyamwezi wa Kitusi nini?
Kaazi kweli kweli, hivi, umesoma angalau kichwa cha habari/mjadala?
Is the heading diffective and/or defacto? Is there any merits katika heading hii? Let us assume that the writer of the thread asked unethical question and/or came to a wishful thoughts, then is it true that Bagamoyo kumendelea kuliko Arusha? Au Hiyo Tanga unayo ipigia debe inamaendelea kuliko Kilimajaro? Hivi huko kupangika ni maendeleo?
Let me go another way, je, nishule zipi zilijengwa na hao Waarabu unao jaribu kuwafagilia? Au Wapi tunaona kuna Mahospitali yaliachwa na hao Wamanga? Just give me one exhibit, then I will conclude that this thread lacks merits and is unethical, to wit, ad infinitum.
Still I don't get constructive argument kutoka kwenu, zaidi ya blah blah zinazo-onyesha mapungufu katika maneno yenu, inter-alia, fikra.
Na umasaini nako walipita waarabu na kulowea ndio maana jamii yao ipo nyuma kimaendeleo na kielimu. Matokeo yake kundi la vijana wanaishia kwenda kumpa "company" mmoja wao kulinda eneo Dar, all day wakati aliyeajiriwa ni mmoja tu.
Na dont forget HAITI ilikua koloni la SAUDI ARABIA.
Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na wanawake wengi.
Mfano: Pwani ya Tanzania, Dar, Tanga, Lindi, Ruvuma, Tabora, Kigoma, na Zanzibar.
Tanga hakuna ombaomba na ukimuona ombaomba ni kutoka Ddoma walikopita wazungu wakiristo.
Toka hakunashida ya vyakula na watu wanalima, nadhani ukitoka Tanga kwenda kenu unayaona mchungwa yalivyo jazana barabrani, tatizo ni masoko, lakini watu wanalima
Wanaokufa na njaa ni sehemu walizopita wazungu kama Ethiopia nk
Tanga nimkoa unaolinda tamaduni zake z kiswahili all around
Vjana wa Tanga niwapekee wanao jenga makwao kuliko mikoa mengine iliyopiptiwa na wazungu, vijana wao wanakimbilia Dar wanasahau makwao. Na hizo sehemu ulizoona nyumba nzuri wengi ni Vijana waTA, wachaga na wengine wa kuja wapo kama sehemunjingine yoyote wanapo kwenda wahamiaji
Zikosehemi nyingine zinaitaji development, hi haiusiani na warabu, Kibira Nairobi nisehemu chafu kuliko popote duniani na pale walipita ni wazungu wakiristo
Hii hoja ya uwarabu na uvivu ni baseless. Waarabu walichangia vitu vingi Tz na around the world. soma mchango mwangu juu.
akuanzae mmalize,akutukanae mtukane.
Wakristo+makafiri= mashoga +wasagaji
Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na wanawake wengi.
Mfano: Pwani ya Tanzania, Dar, Tanga, Lindi, Ruvuma, Tabora, Kigoma, na Zanzibar.
Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na wanawake wengi.
Mfano: Pwani ya Tanzania, Dar, Tanga, Lindi, Ruvuma, Tabora, Kigoma, na Zanzibar.
poor analysis from a poor mindset.-Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na wanawake wengi.
Mfano: Pwani ya Tanzania, Dar, Tanga, Lindi, Ruvuma, Tabora, Kigoma, na Zanzibar.