Waarab waishangaa Hamas

Status
Not open for further replies.

Ni propaganda tupu hizo, hamna ukweli wowote
 
Sometimes the truth hurts
 

Attachments

  • 1406459446904.jpg
    76.1 KB · Views: 105
Ni propaganda tupu hizo, hamna ukweli wowote

Jipe muda kufanya research kwa kila usikiacho mkuu.nakupa mfano tu huko Gaza na West bank,nusu ya umeme wanaotumia unatoka IEC(Israel electric Company) na IEC ina deni la karibia shekeli milioni 600 kutokana na umeme wanaosupply Gaza lakini bado hawajawakatia.Israel na marekani zinasaidia serikali ya Palestina(PA) kwa kiwango kikubwa,direct na kupitia mashirika ya kimataifa.hiyo habari ya civilian homes kutumika kivita mbona zinaonyeshwa al Jazeera,bbc,cnn etc?juu nyumba ya kuishi,chini handaki la silaha na strategic tunnels za kivita.mimi nadhani kama Hamas wataondoa hii dhana ya kutoitambua Israel,basi amani inaweza kurejea moja kwa moja maana hawa watu wataweza kuanzisha mataifa yao au kucoexist.ni wakati wa watu kuirejea historia,vinginevyo hali itakuwa mbaya mno.Hamas watumie hekima.Natazama habari BBC hapa,Hamas walikataa ceasefire iliyotangazwa na Israel kwa truce iliyokuwa proposed na Egypt juzi,wakaendelea kutupia makombora karibu 20 huku Israel ikiwa kimya,leo Israel imeamua kuendeleza mashambulizi na tayari 8 civilians wamekufa,Hamas wanatangaza ceasefire!The only reason why Israel is attacking Gaza is because of these rockets raining from Gaza,kwa nini Hamas inaendeleza vita under this situation?lakini wenyewe wako Qatar,wanaota vitambi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…