Hamas ndio kirusi kinachoitafuna Palestina.Ndio maana serikali nyingi za kiarabu zimechoshwa na huu mzozo.ni sababu ya Hamas.Kuna haja gani ya kuichokoza Israel wakati unajua huwezi kulinda raia wako?na wanaujua uwendawazimu wa wayahudi lakini bado wanawachokoza.Jana nilimsikia waziri wa mambo ya nje wa israel akilalamika jinsi pesa za misaada wanazopeleka kuijenga Gaza,zilivyotumika kujengea mahandaki na kununua makombora ya kuwapigia waisrael wenyewe.ndio maana hawataki kufungua njia za uchumi za Gaza chini ya Hamas,itakuwa disaster kwao.akaelezea jinsi jamaa wanavyosafirisha makombora kwa kutumia ambulance na kuzigeuza hospitali kuwa command center.akaeleza jinsi wananchi wa Gaza wanavyotishwa na Hamas kuhama maeneo ambayo israel inatoa matangazo kuwaomba wahame kabla ya kushambulia.wakaonyesha jinsi baadhi ya nyumba zilivyo na mahandaki ya silaha chini na vituo vya kurushia makombora.wakahoji raia wengi wa Gaza wanaonekana kuwa na hofu na kuchukua msimamo wa kati,wengi wakilalamika kupigwa mabomu ilhali hawapendi politics na hawaungi mkono upande wowote.Picha niliyoipata ni kuwa Hamas wanahitaji sana vurugu na ukatili wa waisrael ili kupata support ya wapalestina.ndio maana out of nowhere,utasikia wamerusha roketi tel aviv na kuprovoke vita kama hizi.Hamas anataka kuiprovoke Israel,ipate sifa mbaya,huku akiiua Palestina.blood politics by Hamas.
Watu wa Palestina ni wa kuhurumia na tuwaombee sana wote wa hali zote waislam/wakristo/wayahudi wa Gaza raia wema wasio na hatia ila unafiki wa viongozi wa Hamas nao ni wa kutisha. wanawaweka raia hawa masikini katika hali mbaya hata zaidi.
Wewe unajua mzozo huu ulipoanzia au unakurupuka tu. ISRAELI ana ardhi pale wale si walikaribishwa kutoka Ulaya mwaka 1947 umesahau mzee. leo uje udai kwako, ukoloni huo haupo tena. Mimi nasapoti WANYONGE WANAODHULUMIWA HATA KAMA HAWANA SILAHA, IPO SIKU DAMU YAO ITALIPWA. UMESAHAU AFRIKA KUSINI KIPINDI CHA MAKABURU?? JE NANI ALIJUA KAMA ZILE ZAMA ZITAISHA? NI MAPITO TU HAYO, WATAPIGWA LAKINI HAWATOWEZA KUUWA WAPALESTINA WOTE, IPO SIKU DAMU ITALIPWA ILA IKITOKEA WASISHANGAE. KUNA MWANAFASLAFA MMOJA ALISEMA " THE EMPIRE OF A COUNTRY EXIST ONLY ONCE". ROMAN EMPIRE ILIANGAMIA, BRITISH EMPIRE ILIANGAMIA, GERMAN EMPIRE PIA, SPAIN, EGYPT, RUSIA N.K. NA WALIKUFA WATU WENGI KULIKO WANAOULIWA LEO. IPO SIKU USA NA MWANAWE ISRAELI EMPIRE ZITAANGAMIA MATTER OF TIME
Labda elimu akhera
HATA pengo Pengo kasoma elimu Akhera !
Hili suala la utunguaji wa ndege wangefanya Hamas ingekuwa balaa humu. Halafu waarabu wenyewe wanaowashangaa Hamas ni Misri, sijui mleta alitarajia nini kutoka kwa Al Sisi!!!Hakuna uhakika na anayosema kiongozi wa Israel especially katika muda wa vita kama hii...vita vinaongozwa na propaganda...hakuna ukweli wowote unaoweza ku uprove hapo...haiingii akilini eti israal inawapa pesa serikali ya Gaza wao wanajenga mahandaki..huu ni uongo mkubwa...haitakaa itokee selikari ya kiyahudi iwatambue wale jamaa after all Hamas kwenye macho ya Israel ni kundi la kigaidi...
RESISTANCE katika kila zama uitwa ugaidi...hapo wakati state of israel inatengenezwa kundi la kiyahudi lililo kuwa ni la resisitance "HAGANNAH" League of Nations walikuwa wakilitambua kama Terrorist Group...
kuna sehemu nyingine tunabidi kuwa Fair...ikiwa nchi nyingi kuna Uasi hawaitwi magaidi, why Hamas? au kwa sababu ni waarabu?
laiti ingeuwa kundi la waasi wa Ukraine ni waislamu ndio waliotungua Ndege leo dunia nzima inagetetemeka..."magaidi oooh magaidi" hata kama wako na motives zao za kisiasa...
watu wengi ni brain washed na wako na highest degree of hypocrisy na ushabiki...lakini PALESTINE NEEDS FREEDOM hata ikiwa watauliwa...kwani hakuna atakayesalia hapaulimwenguni but they need to resist
Hakuna uhakika na anayosema kiongozi wa Israel especially katika muda wa vita kama hii...vita vinaongozwa na propaganda...hakuna ukweli wowote unaoweza ku uprove hapo...haiingii akilini eti israal inawapa pesa serikali ya Gaza wao wanajenga mahandaki..huu ni uongo mkubwa...haitakaa itokee selikari ya kiyahudi iwatambue wale jamaa after all Hamas kwenye macho ya Israel ni kundi la kigaidi...

Hili suala la utunguaji wa ndege wangefanya Hamas ingekuwa balaa humu. Halafu waarabu wenyewe wanaowashangaa Hamas ni Misri, sijui mleta alitarajia nini kutoka kwa Al Sisi!!!
One of the greatest misfortune here on earth is to have an enemy that you can not defeat. Mbona lords resistance army ya Joseph konyi imekuwa termed kama terror group nao ni waislam?
navyoujua mimi linaitwa REBEL group...hayo ya Terror group ndo nasikia kwako.....every Region kuna rebels and wako ARMED...resistance is resistance...kwani usipo resist ndio hali itakuwa mbaya kabisa...keep resisting even if your oppressor kills you...that is the formula of resistance
The problem is not you but that which you believe in
Hawa ni wamisri wanaooengea hapo not all arab nations has that sense of Hypocrisy...Hakuna waarabu mapunguani kama wamisri...:llama:
Wewe unajua mzozo huu ulipoanzia au unakurupuka tu. ISRAELI ana ardhi pale wale si walikaribishwa kutoka Ulaya mwaka 1947 umesahau mzee. leo uje udai kwako, ukoloni huo haupo tena. Mimi nasapoti WANYONGE WANAODHULUMIWA HATA KAMA HAWANA SILAHA, IPO SIKU DAMU YAO ITALIPWA. UMESAHAU AFRIKA KUSINI KIPINDI CHA MAKABURU?? JE NANI ALIJUA KAMA ZILE ZAMA ZITAISHA? NI MAPITO TU HAYO, WATAPIGWA LAKINI HAWATOWEZA KUUWA WAPALESTINA WOTE, IPO SIKU DAMU ITALIPWA ILA IKITOKEA WASISHANGAE. KUNA MWANAFASLAFA MMOJA ALISEMA " THE EMPIRE OF A COUNTRY EXIST ONLY ONCE". ROMAN EMPIRE ILIANGAMIA, BRITISH EMPIRE ILIANGAMIA, GERMAN EMPIRE PIA, SPAIN, EGYPT, RUSIA N.K. NA WALIKUFA WATU WENGI KULIKO WANAOULIWA LEO. IPO SIKU USA NA MWANAWE ISRAELI EMPIRE ZITAANGAMIA MATTER OF TIME
Hii clip nimeipenda. Thanks Geeky. Mwanangu haya ni makavu laivu kwa hamas na waarab wengine wanaoimba Jihad, jihad huku wanavimba matumbo tu kwa kula. Wangeangalia kamanda Bin Laden alivyo kua, na wao.
tena utakuta ana madevu,kichwan elimu darasa la pili
halafu eti anaichambua palesitina hata hajui ipo bara gan
wakitoka gizani ndo watajutia ujinga wanaoutapika