Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,019 Reaction score 132,759 May 8, 2020 #41 Wanabodi, kwa vile kesho nitakuwa na Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu sekta ya Habari, nikipata muda pia nitaulizia kuhusu issue hii ya kihabari, ila na wewe, kama una swali lolote, liulize hapa Una Swali Lolote kwa Waziri wa Habari, Dk. Harrison Mwakyembe?, Atakuwa Live Star TV, Kuzungumzia Sekta ya Habari na Janga la Corona, Uliza Chochote! - JamiiForums P.
Wanabodi, kwa vile kesho nitakuwa na Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu sekta ya Habari, nikipata muda pia nitaulizia kuhusu issue hii ya kihabari, ila na wewe, kama una swali lolote, liulize hapa Una Swali Lolote kwa Waziri wa Habari, Dk. Harrison Mwakyembe?, Atakuwa Live Star TV, Kuzungumzia Sekta ya Habari na Janga la Corona, Uliza Chochote! - JamiiForums P.