Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,068
- 151,315
Inasikitisha kuona serikali ikiendelea kufuta programme mbalimbali za ualimu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni wanafunzi wanaosoma programme hizo kukosa sifa huku serikali hiyo hiyo na vyombo vya habari vikiwa kimya kabisa kuhusu mwanafunzi Jesca John Magufuli anaedaiwa kudahiliwa katika chuo kikuu cha Dodoma kuchukua shahada wakati mwanafunzi huyo akionekana kudahiliwa katika mazingira yenye utata kwa kutuhumiwa kukosa sifa.
Waandishi katika hili mmefeli kwa kiasi kikubwa.Ni aibu mmeshindwa kufuatulia swala hili kwa kuwahoji wahusika wakiwemo Viongozi wa Chuo cha Dodoma,Viongozi wa NACTE,Viongozi wa TCU,Mkuu wa Shule ya St.Mathew anakodiwa kusoma mwanafuni Jesca na hata kumtafuta na kumuhoji mwanafunzi mwenyewe.
Tangu sakata hili limeibuka,hakuna chombo chochote cha habari yakiwemo hata magazeti yaliyojaribu kuripoti swala hili na badala yake limebaki kuwa ni swala la mitandaoni tu.Ninahakika ingekuwa ni katika mataifa mengine yaliyoendelea,media zingesima kidete kuhusu swala hili na kuna watu wangewajibika ila hapa kwetu jambo hili sio habari!!.
Hivi nyinyi waandishi,swala hili lingemuhusu mtu mwenye jina la mfano wa Jesca Tundu Lissu au Jesca Freeman Mbowe,mmngekaa kimya?
Waandishi kwa hili mmepwaya.
Tunataka haki itendeki,sheria ni msumeno.