Waandamanaji wangusha Sanamu ya Christopher Columbus Marekani

Waandamanaji wangusha Sanamu ya Christopher Columbus Marekani

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,560
Reaction score
3,954


Kundi la waandamanaji nchini Marekani limeangusha sanamu la Christopher Columbus na kulitupa majini kwenye bandari ya mjini Baltimore hapo jana usiku, baada ya Rais Donald Trump kuahidi kulinda mwenendo wa maisha ya Wamarekani ulioanzishwa kufuatia Columbus kuligundua bara la Amerika.

Wimbi la maandamano lilianza nchini Marekani, baada ya polisi kumuua Mmarekani mweusi George Floyd Mei 25. Waandamanaji wamekuwa wakitaka kuondolewa kwa masanamu mengi ya kihistoria yenye utata, ikiwa ni pamoja na sanamu la Columbus na ya watu wengineo ambao wanasema walihusika na ukandamizaji kwa karne kadhaa.

Columbus anaesifiwa kwa kuligundua bara la Amerika, hivi karibuni wanahistoria na wanaharakati wanasema alihusika pia katika utumwa, unyonyaji na ukandamizaji pamoja na umwagaji damu wa watu asili.

===

Protesters tore down a statue of Christopher Columbus and threw it the Inner Harbor Saturday in Baltimore.

Video recorded by Louis Krauss/The Baltimore Brew shows a group of people pulling the statue down and dumping it into the water.

Rope was seen in the water that was attached to the statue, still in the water through the 11 p.m. hour.

This comes a week after City Councilman Ryan Dorsey pushed to rename a Columbus monument in northeast Baltimore, and then other lawmakers pushed to protect and preserve Baltimore's Columbus statues.

Gov. Larry Hogan posted a statement on Facebook Sunday morning, saying: "While we welcome peaceful protests and constructive dialogue on whether and how to put certain monuments in context or move them to museums or storage through a legal process, lawlessness, vandalism, and destruction of public property is completely unacceptable. That is the antithesis of democracy and should be condemned by everyone, regardless of their politics. Baltimore City leaders need to regain control of their own streets and immediately start making them safer."

City Council President Brandon Scott, who is also the Democratic nominee for mayor, released a statement late Saturday night, saying: "I suggested that the last administration remove this statue when they removed the Confederate monuments. I support Baltimore's Italian-American community and Baltimore's indigenous community. I cannot, however, support Columbus."

At 10 p.m., protesters blocked the intersection of Pratt and President streets. At 11 p.m., protesters were gathered outside the Ouzo Bay restaurant.
 
ungekuwa umetenda haki kwa kuweka picha ya tukio
 
Democrats wana shida na waafrika hawajui nini wanataka
 
Christopher Columbus (Burning spear)
 
Collumbus aliuwa watu wengi sana huyo pussy

Laana ya wahindi wekundu bado inamuandama mpaka kuzimu
 
Hiki Kitendo kimewafurahisha sana Familia ya Marasta sababu waliomba miaka kibao sanamu Ling'oewe.

Hadi Culture na Bob Marley wakaimba nyimbo za kulaani




 
Back
Top Bottom