Waandamanaji hulindwa na si kupigwa, je jeshi letu la Polisi lina cha kujifunza hapa?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,269
23,205

Polisi wakiwatakia heri wananchi wanaoelekea kwenye maandamano...

1713967_1280x720.jpg

Polisi wakiwasindikiza waandamanaji mjini New York...
 
Mkuu Mag3.....

Ndio tofauti yao na sisi....

Wakati unamkamata mtu kwa uchochezi Tanzania tena kwa kutumia kodi za wananchi......

Marekani wanapanga kwenda kwenye mwezini.......

Ukitaka kujua viongozi Wa kiafrika walivyo na IQ ndogo angalia investment waliofanya ndani ya jeshi la police kwenye kujiandaa kudhibiti maandamano ya Ukuta............

Halafu maandamano yakayeyuka na wao wakaingia mitini kodi za wananchi zikapotea hivyo hivyo............
 
Unajua wengi polisi ni Yale yakiyofeli masomo na hao ndio mtaji wa ccm yaani ni makondoo mwisho,jambo dogo la kuongea na watu linaweza kumvunja mtu mbavu,eti askari ni kutii,fanyeni tu fyoko siku ya mwisho kila mtu na msalaba wake,hautasema eti ni maagizo toka juu!!
 
Inauguration protests: Police injured, more than 200 arrested - CNNPolitics.com

(CNN) Six police officers were injured and 217 protesters arrested Friday after a morning of peaceful protests and coordinated disruptions of Donald Trump's inauguration ceremony gave way to ugly street clashes in downtown Washington.

At least two DC police officers and one other person were taken to the hospital after run-ins with protesters, DC Fire Spokesman Vito Maggiolo told CNN. Acting DC Police Chief Peter Newsham said the officers' injuries were considered minor and not life threatening.

police-fire-pepper-spray-at-demonstrators-in-downtown-washington-a-picture-id632261148

limousine-is-set-aflame-with-the-graffiti-of-we-the-people-spray-on-picture-id639353616
 
Inauguration protests: Police injured, more than 200 arrested - CNNPolitics.com

(CNN) Six police officers were injured and 217 protesters arrested Friday after a morning of peaceful protests and coordinated disruptions of Donald Trump's inauguration ceremony gave way to ugly street clashes in downtown Washington.

At least two DC police officers and one other person were taken to the hospital after run-ins with protesters, DC Fire Spokesman Vito Maggiolo told CNN. Acting DC Police Chief Peter Newsham said the officers' injuries were considered minor and not life threatening.

Huyo amechukua ka portion tu kadogo ili atengeneze hoja. Hakunaga polisi wakorofi kama wa marekani, ukajaribu tu wanakuchoma za moto, labda uwe mzungu.

Charlotte protest: One person shot during violence; officer wounded - CNN.com

One person shot during violent Charlotte protest; officer hurt
 
Sio kwa nchi hii tatizo kubwa jeshi la polisi tumerithi kutoka mkoloni jeshi ambalo kazi yke ilikuwa kumlinda mtawala sijui umenielewa so jeshi lipo kulinda maslahi CCM tu
 
Kuna wanaCCM wanashangilia sana haya maandamano ya kumpinga Trump ila wako tayari kukuombea uvunjwe kiuno kwenye maandamano ya hapa Tanzania.
 
Polisi wakiwatakia heri wananchi wanaoelekea kwenye maandamano...

1713967_1280x720.jpg

Polisi wakiwasindikiza waandamanaji mjini New York...

Je vipi kuhusu Waandamanaji wenu wao hawana cha kujifunza ktk kwa hao Waandamanji wa Kizungu? Au ni unaona ni Askari wetu tu ndiyo wana cha kujifunza na siyo waandamanaji ambao wanawashambulia Askari wetu kwa Vyupa, Mawe, na kuvunja kuiba na kuharibu mali za watu wasio na hatia?

2-9.jpg
 
Hivi hapa Afrika kuna shida gani? Kama mtu ataandamana, akalindwa atema nyongo weeee na kupuuzwa si atarudi tu nyumbani na kudharaulika tu. Lakini hilo ni tofauti barani Afrika. Ipo shida mahali bara hili, na hii pia ni kwa waandamanaji wenyewe maana nao siyo wastaarabu. Hiyo ndiyo hali ya mambo ya bara la Afrika kila kitu ni ovyo.
 
Back
Top Bottom