Baba V naomba utoe kalipio kali juu ya hawa watu. pacha wangu anataka kunipinduaNilikutumia salam, sema tulikuwa bize na marekebisho ya sistimu ya mfumo wa mtandao kwenye netweki... Kifupi ni kuwa alisema anakusudia kufunga ndoa rasmi na DEMBA wiki hii. Ameomba upunguze kum bip bip, Pm na mizinga ya hapa na pale kama ulivyozoea. Ni hayo tu......
aiseeee.. miss strong.....
Fight for your pipi... haha.. kama wamekuzidi kukata mauno mie niingilie kati...!? si ntaonekana mkorofi, afterall hamjafunga ndoa bado
Nini maana ya majaribu? Au nyie mmeamua kufanya kazi ya shetani kuwajaribu wachaMUNGU? Kumbukeni afanyae kazi ya shetani, naye ni shetani.