poleni na kazi!!! wife kasafiri yupo nje ya nchi kimasoma kama mwezi wa kumi huu....mzee mzima nimekabwa na maugwadu.....kuna demu wangu mmoja nilikuwa napozeapozea nae kasafiri yupo mkoa, sasa katika pitapita yangu kwenye mindao ya kijamii nikakutana na mtoto mmoja anasoma Udom....mtoto mzuri anajua kudeka ana call kila night tunapigastory...anamaneno ya kimahaba si mchezo nikaona hapa kijana nimeopoa....tukatumia skyp mtoto nikamuona live...alivyomzuri, akaniambie beib nataka nije dar tugegedane..... nikasema haina shida nauli shil ngap...akasema 18000/= nikamwambia poa ntakupa 40000 na emegency.......akasema ntakuja jmos then ntaondoka j3 asubh maana sina vipindi....nilivyotuma tu ile hela ndio ukawa mwisho wa mawasiliano.....nikajiona mburulaaa.....naapa sirudiii....naona niwaambie yasijeyakawakuta......
Duh, kuna wanaume wanapata shida jamani kha... #umbulula++
Heri ubaki bikra kama mimi...
abak bikra kama ww kwan msichana huyo!!!!!
Ha ha ha mjini shule..18,000+4000 tu unalia JF lol
Ndivyo ulivyofundishwa kuwa wasichana tu ndo wanaitwa bikra!??
Duh, kuna wanaume wanapata shida jamani kha... #umbulula++
Heri ubaki bikra kama mimi...
Mi mzima Mashaxizo ,Halafu umetulia siku mbili hizi nimekumisijee...Umzima weye?
Khaaa! Hela hata Tsh. 1000/= Ikitoka bureeeeeee! Nouma Mazeeeeeeeeee....! Mmwwee!
Siku ukitaka kuitoa hiyo bikra lazma zikutoke...
Ukipata asiyependa kuhongwa kaoge maji ya bahari hindi..