Waalimu stand up for your rights

Waalimu stand up for your rights

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,551
Ngoja niseme alafu mwisho ntamalizia kwa swali dogo,kuna mradi wa usambazaji umeme vijijini chini ya Rea ila hatuoni wafanyakazi wa Tanesco wakikatwa pesa kufanikisha hili,tunaona kuna chanjo ya rubela na surua imeanza jana ila hakuna mtumishi yeyote wa afya anayekatwa kuchangia chanjo hiyo,aidha tumeona upimaji wa ardhi ukiendelea nchi nzima ila hatujaona watumishi wa ardhi wakibanwa ili kuchangia mpango huo,sasa nauliza tu,imetokea sheria hipi na lini ikaonekana ujenzi wa maabara shuleni eti waalimu wachangie mradi tena kwa mabavu kiasi hicho ama ndo enzi za ukoloni na forms of taxations inarudi upya kwa kuanzia kwenu,ama mna mapesa mengi sana waalimu?
 
Walimu kutokana na unafiki wao na kujikomba CCM wataliwa mpaka waishe.Na bado
 
Alafu hao hao ndo kesho utawakuta wamevaa kijani wanakata na viuno
 
Wew kama hujui huu mpango na waraka wenyew upoje bora ukapga kimya mkuu kuliko kukurupka na kuanza kublame lyk a raped bitch.
 
Wengi wa walimu wanatumia vyeti visivyo vyao na hawataweza kamwe kudai haki zao.
 
Waendelee kukatwa tu hawa si ndio mabalozi wa maccm?!
 
Ngoja niseme alafu mwisho ntamalizia kwa swali dogo,kuna mradi wa usambazaji umeme vijijini chini ya Rea ila hatuoni wafanyakazi wa Tanesco wakikatwa pesa kufanikisha hili,tunaona kuna chanjo ya rubela na surua imeanza jana ila hakuna mtumishi yeyote wa afya anayekatwa kuchangia chanjo hiyo,aidha tumeona upimaji wa ardhi ukiendelea nchi nzima ila hatujaona watumishi wa ardhi wakibanwa ili kuchangia mpango huo,sasa nauliza tu,imetokea sheria hipi na lini ikaonekana ujenzi wa maabara shuleni eti waalimu wachangie mradi tena kwa mabavu kiasi hicho ama ndo enzi za ukoloni na forms of taxations inarudi upya kwa kuanzia kwenu,ama mna mapesa mengi sana waalimu?

ccm oyeeeeeeeeeeee
 
Labda sio walimu wa nchi hii! Waalimu ambao uchaguzi ukija wanagombania ukarani na semina kibao za kuchakachua kura! Baada ya uchaguzi ni kilio ooh madeni madeni!
 
Wanachanga pesa kwa ajili ya uchaguzi. Hakuna cha maabara, ni mabalaa tu hapo.
 
Wew kama hujui huu mpango na waraka wenyew upoje bora ukapga kimya mkuu kuliko kukurupka na kuanza kublame lyk a raped bitch.

If there is a "raped bitch" -your words not mine - in this saga then that raped bitch IS YOU sir! Otherwise usingeunga mkono wizi unaofanywa na serikali hii ovu ya ccm.
 
Wew kama hujui huu mpango na waraka wenyew upoje bora ukapga kimya mkuu kuliko kukurupka na kuanza kublame lyk a raped bitch.

Hebu tuupe tarifa zaidi ndugu. tutushie waraka huu tupate kuuelewa mpango upoje, maana na sisi wengine tutaanza kukatwa ili kujenga posts za kata!
 
Mkuu, ukipewa jibu litakalokuridhisha kuhusiana na ulichouuliza hapa naomba uni-PM. Naenda kulala mie!
 
Wew kama hujui huu mpango na waraka wenyew upoje bora ukapga kimya mkuu kuliko kukurupka na kuanza kublame lyk a raped bitch.

Umemuelewa vzr mleta mada? Kwanini Waalim wakatwe mshahara kujenga Maabara ikiwa TANESCO au Ardhi hawakatwi kuendeleza Project zao,,,!
 
@Rweye vipi hapa, upo lakini.. Maisha yako fasta sana teh teh teh
 
ngoja niseme alafu mwisho ntamalizia kwa swali dogo,kuna mradi wa usambazaji umeme vijijini chini ya rea ila hatuoni wafanyakazi wa tanesco wakikatwa pesa kufanikisha hili,tunaona kuna chanjo ya rubela na surua imeanza jana ila hakuna mtumishi yeyote wa afya anayekatwa kuchangia chanjo hiyo,aidha tumeona upimaji wa ardhi ukiendelea nchi nzima ila hatujaona watumishi wa ardhi wakibanwa ili kuchangia mpango huo,sasa nauliza tu,imetokea sheria hipi na lini ikaonekana ujenzi wa maabara shuleni eti waalimu wachangie mradi tena kwa mabavu kiasi hicho ama ndo enzi za ukoloni na forms of taxations inarudi upya kwa kuanzia kwenu,ama mna mapesa mengi sana waalimu?

naona umesahau haya: Walimu wananunua vitabu vya kufundishia, walimu wananunua chaki, walimu wananunua vifaa vya kufundishia kwa pesa zao. Ingawa si wote ila maeneo mengi iko hivyo. Wapo walimu kibao tu utawasikia ccm hoyee.
 
Huyo mwenyewe sasahivi anakwambia CCM oyeee.. #HapaKaziTu teh teh teh
 
Back
Top Bottom