Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,726
Wabongo tunapenda sana vya dezo bila kujua wenzetu wamehangaika kiasi gani kuvipata. Yani anatokea huko mtu mmoja sijui kala malimao ya wapi na kuanza kutoa mashariti kwenye vyombo binafsi kwamba fulani na fulani wapande bure?
Hivi aliyetoa hili tamko anaamnisha kuwa waalim watapanda bure kwenye school bus, kwenye ma bus ya mwendo kasi au hizi hizi dala dala zetu?
Mimi nimeshawaambia madereva wangu, mtu zaidi ya askari akipanda lazima atoe hela. Lazivyo waondoke na viatu. Wakati mimi najibana nakula ugali dagaa ili ninunue kidala dala changu, hakuna mtu alinichangia...