Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane View attachment 2859119
Payee unalipa elfu 14,390 wewe utakuwa mwalimu kabisa,, nyie walimu ni wapumbavu Kwa kukopakopa kwenu ,,MTU unapokea kihela kidogo badala utulie nacho unapenda kukopa Taasisi za hovyo hovyo hizo,,
 
Pole Sana Mkuu.

Sijui sababu zilizokufanya ukope, ila shukuru sana Mungu hata hicho ulichonacho.

Wengi hapa wanakuponda na kukusimanga ila nakuhakukishia wengi hapa inawezekana
1. Hali ni hiyo hiyo Kwenye salary slip zao.

AU
2. Watoto tu bado hawajajua maisha yakoje

AU

3. Hata hizo salary slip wanazisikia tu Kwa watu au hapa.

Kama ulikopea shida, 90% hapa ungewafuata wasingekubali kukuazima hiyo hela, ungekufa na shida zako

Once you have made a mistake. Own that mistake instead of blaming yourself.

Kwa sababu maisha yako yote itakuwa mtu wa kulaumu na kulalamika wakati makosa yalikuwa yako.

1. Hizo taasisi haziwezi kufutwa kamwe, kuna tabaka la watu fulani zinawasaidia japo pia wapo wanaoumia ( Kwa uzembe wao au Shida )

2. Siku zote kubali jinsi ulivyo na ishi unavyotaka wewe. ( Muhimu usimkosee Mungu na Sheria za Nchi) utaishi Kwa raha. Ridhika na Mshahara huo, Upangie bajeti nzuri, Save hata 15000 tu kila mwezi kwenye huo Mshahara. Kuna watu wanapokea 100,000 Kwa mwezi na wanaishi, kuna wamama wanauza mchicha sokoni na kuchoma mahindi na wanaishi.

3. Jitahidi kupunguza Expenses zisizo za msingi, kama umepanga Jenga hata vyumba 2, hamia kwako. Utaongeza kiasi kwenye Mshahara wako.

4. Ongea na watu kitaa, tafuta side Hustle, upate kipato mbadala tofauti na Mshahara. Usione aibu kubali kujifunza fanya kazi, pambana wewe ni Mwanaume.

Dunia haina huruma hakuna atakaejali zaidi ya Mungu na Mama yako Mzazi.

Utaona maisha yako yanabadilika.

Happy New Year Everybody.
Unafaa kuitwa mtu mwenyewe utu.... Respect
 
Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane View attachment 2859119
Pole sana... Mikopo sio mizuri.. ingekuwa ungejikusanya KWa muda fulani.. kisha uanzishe biashara.. hatua KWa hatua tu.. ungefika mbali.. lakini ukisikipiza maneno ya maafisa mikopo eti bila mkopo hufanyi kitu.. ndo mwisho wa siku inakuwa hivyo...

NB: jinasue kabla hujawa teja mikopo..
 
Kwani CCM haihusiki katika hili???

Tumia kidogo akili yako utaona mahusiano yaliyopo kati ya mikopo hii umiza na CCM kuwepo madarakani.
Ukiingia kwenye mfumo was ess,taasisi zote zinajiita TRA yaani bayport,faidika,platinum zinajiita TRA,huu ni mfumo was wakubwa kuwaminya was chini hasa watumishi ili wasipige hatua!!

Huo no ujasusi wa kiuchumi dhidi ya watumishi na unatengenezwa kimkakati kabisa!!

Hivyo tu mkuu!!
 
Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane View attachment 2859119
Letshego ni majambazi Tanzania
 
Mkopo mkubwa niliowahi chukua ni miezi 11 ,ukichukua mkopo wa muda mrefu utajikuta unalipa mara tatu ya huo mkopo hasa hizo taasisi za maumivu,vilevile chukua mkopo ukiwa umejiwekea balance kilichobaki kinauwezo wa kukidhi mahitaji yako ya kifamilia na mengine madogo la sivyo utaishi na kufanya kazi yako bila furaha.Ujenzi na miradi midogo anza na mshahara jiwekee malengo na pia punguza matumizi yasiyo ya lazima,ukubali kuishi within your circle muda utaamua utajipata tu.
 
Huwa nachukua 3urs last yr nlichukua 20mil nalipa riba ya 4m
 
Kwa vyovyote basic salary yako ni sh. 489,000/=.
So pamoja na unyonyaji wa taasisi za mikopo, hata wewe umechukua mkopo mkubwa kulinganisha na kipato chako.
Yawezekana pia amepata ajira miaka michache iliyopita, means hajapanda daraja kwa salary hio.
 
Back
Top Bottom