Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

Naoma mnataja NMB na CRDB,
Shida watu wamekariri eti mikopo ya bank ndio mizuri, subutuu, wewe unakopa 20M unapata 18M cash unalipa 38 bado unaamini bank ni nzuri?

Tena bora ungesema Stanbic wao riba yao ni 13% lakini pia wana reducing rate,
 
Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane View attachment 2859119
You are a deadman walking!
 
na ukiwa makini isichafuke basi utachafuka wewe

mambo yako hayatoenda Kwa wakati kamwe.

kuchafuka Kwa payslip ndio kusafishika kwako... la msingi ukishajua umeichafua payslip hakikisha unakua makini na we usichafuke
 
Leo ni siku ya mwaka mpya lakini familia Haina hata msosi , nimepambana nimepata afu tatu Ili angalau wapike wali kilo moja wale ,lakini uzembe nilioufanya umenipa funzo kubwa sana sina Cha kufanya ila subira tu.

Nashauri serikali hizi taasisi zifutwe na zisitishwe kutoa mikopo kwa watumishi otherwise wawekewe limit ya muda wa mkopo na shauri wakopeshe mwisho miezi 12 (mwaka mmoja tu) kama kuzifuta imeshindikana

My saraly slip is bleeding yaani hapa hayo makato yamekatwa miaka mitatu na bado inaendelea kukatwa na ukizingatia jumla ya hela niliyochukua kwa taasisi zote mbili ni milioni 4 na laki nane View attachment 2859119
Mkuu nimekuonea huruma sana.
Tatizo ulikopa bila kuwa na elimu (uelewa) ya ukopaji.
Haukupiga haukufanya analysis ya faida na hasara ya kuchukua hiyo mikopo. Wewe u uliizingatia faida ya muda mfupi ya kutatua shida zako bila kuzingatia athari za muda mrefu zitakazoletwa na huo mkopo.
Mbaya zaidi ulikopa kampuni ya kwanza pato lako likashuka haukustuka ukaenda kukopa kampuni nyingine tena.

Kuna vitu vitatu vikubwa ya kuzingatia unapokopa mkopo.
1. Mkopo unaenda kuufanyia nn. Je unaenda kuuzalishia (kuongeza kipato) ama unaenda kutatulia jambo lisilozalisha. Kama ni jambo lisilozalisha jua huo mkopo unaenda kushusha kipato chako
2. Muda wa marejesho. Kama mkopo ni wa biashara basi unaweza kukopa mkopo wa muda mrefu bila shida maana mzigo unakuwa kwenye biashara siyo kwako. Lakini kama ni mkopo binafsi basi muda wa mkopo unapaswa kuwa mwaka 1 ama 2 mwisho kabisa miaka 3.
3. Aina ya riba(rate) ya mkopeshaji. Unashauriwa kukopa kwa compound interest badala ya simple interest. Uzuri wa compound interest ni kuwa kadri deni linavyopungua na riba nayo inapungua ila kwenye simple interest riba huwa inabaki vile vile.

ANALYSIS FUPI YA DENI LAKO
Kwa deni la letshego na kiasi unachokatwa bado miezi 53 ( miaka 4 na miezi 7) ndio liishe. Hivyo utalimaliza mwaka 2028 mwezi wa 7
Kwa deni la bayport na kiasi unachokatwa bado miezi 41 (miaka 3 na miezi 5). Hivyo utalimaliza 2027 mwezi 5.
Hivyo basi safari ya maumivu makali bado ni ndefu sana. Ukizingatia kwamba ukijitahidi sana utapanda daraja mwaka 2026 ama 2027. Hivyo hakuna uwezekano wa mshahara kuongezeka zaidi ya hiyo sh 10,000 ya annual increment.

USHAURI
Kwa sasa jumla ya deni lako ni 10,900,066.47 ≈ mil 11na jumla ya makato yako ni 219,923 ≈ 220,000
Hivyo
Kwanza kabisa ongea na hizo kampuni waambie umepata pesa na unataka Kupunguza muda wa marejesho. Ili wakupigie riba ya mwaka 1. Naamini deni lako likashuka sana ukitoa ambayo umeshalipa naamini deni lako litakuwa chini ya mil 5.

Baada ya hapo nenda bank ya CRDB ama NMB (nashauri CRDB kwa sababu wana riba ndogo ukilinganisha na NMB) ongea nao walinunue hilo deni angalau kwa mil 6 wakulipie mil 5 na ubaki na cash kama mil 1.
Baada ya hapo makato yako yawe 236,000, ili wewe ulipe chini ya mil 7.5 kwa miezi 30 (miaka 2 na miezi 6)

Hii itakusaidia kupunguza kipindi cha ukata kutoka miaka 4 na miezi 5 hadi miaka 2 na miezi 6
Pia italipunguza deni lako kutoka mil 11 mpaka mil 7.5 na utakuwa umepata 1mil cash kwa ajili ya mtaji wa biashara ili Kupunguza ugumu wa maisha hapo home. kama wife yupo basi asikae tu home mpe hata 200k kwenye hiyo 1mil aanze kujishughulisha kwa mtaji wa 100k ili msosi usikosekane hapo home

Kama wewe siyo mtu wa biashara basi fuundisha masomo ya ziada ama endesha hata bodaboda.

Usijichukie wala kujilaumu sana juu ya tatizo lako bali lichukulie Kama somo kwako ili siku nyingine usijichanganye tena
 
Yaani hapo nilienda kukopa huko coz sikuwa na vigezo vya kukopa bank,

Kwa maana nilikuwa AJIRA mpya nikiwa sina barua ya AJIRA na barua ya kuthibitishwa kazini

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hii ni kawaida kwa ajira mpya. Vi vitaasisi vidogo ndio hujipatia wateja wao hapohapo na kwasababu ajira mpya wanakuwa na stress kwasababu ya kuchelewa kwa hela ya kujikimu na kusafilishia mizigo hakuna namna zaidi ya kukopa baada ya kupeleka barua ya uthibitisho wa ajira toka kwa afsa utumishi wako na copy ya barua ya ajira then mkopo unapata. Wote tulianzia huko mkuu so usishangae ni kawaida tu.
Kumbuka baada ya miezi 6 unaweza kuihamishia deni lako kwenda bank unayoingiziwa mshahara na ukakopa tena kwenye hiyo bank alafu wao wakamalizana na hiyo taasisi ya kifedha.
 
Mkuu nimekuonea huruma sana.
Tatizo ulikopa bila kuwa na elimu (uelewa) ya ukopaji.
Haukupiga haukufanya analysis ya faida na hasara ya kuchukua hiyo mikopo. Wewe u uliizingatia faida ya muda mfupi ya kutatua shida zako bila kuzingatia athari za muda mrefu zitakazoletwa na huo mkopo.
Mbaya zaidi ulikopa kampuni ya kwanza pato lako likashuka haukustuka ukaenda kukopa kampuni nyingine tena.

Kuna vitu vitatu vikubwa ya kuzingatia unapokopa mkopo.
1. Mkopo unaenda kuufanyia nn. Je unaenda kuuzalishia (kuongeza kipato) ama unaenda kutatulia jambo lisilozalisha. Kama ni jambo lisilozalisha jua huo mkopo unaenda kushusha kipato chako
2. Muda wa marejesho. Kama mkopo ni wa biashara basi unaweza kukopa mkopo wa muda mrefu bila shida maana mzigo unakuwa kwenye biashara siyo kwako. Lakini kama ni mkopo binafsi basi muda wa mkopo unapaswa kuwa mwaka 1 ama 2 mwisho kabisa miaka 3.
3. Aina ya riba(rate) ya mkopeshaji. Unashauriwa kukopa kwa compound interest badala ya simple interest. Uzuri wa compound interest ni kuwa kadri deni linavyopungua na riba nayo inapungua ila kwenye simple interest riba huwa inabaki vile vile.

ANALYSIS FUPI YA DENI LAKO
Kwa deni la letshego na kiasi unachokatwa bado miezi 53 ( miaka 4 na miezi 7) ndio liishe. Hivyo utalimaoiza mwaka 2028 mwezi wa 7
Kwa deni la bayport na kiasi unachokatwa bado miezi 41 (miaka 3 na miezi 5). Hivyo utalimaliza 2027 mwezi 5.
Hivyo basi safari ya maumivu makali bado ni ndefu sana. Ukizingatia kwamba ukijitahidi sana utapanda daraja mwaka 2026 ama 2027. Hivyo hakuna uwezekano wa mshahara kuongezeka zaidi ya hiyo sh 10,000 ya annual increment.

USHAURI
Kwa sasa jumla ya deni lako ni 10,900,066.47 ≈ mil 11na jumla ya makato yako ni 219,923 ≈ 220,000
Hivyo
Kwanza kabisa ongea na hizo kampuni waambie umepata pesa na unataka Kupunguza muda wa marejesho. Ili wakupigie riba ya mwaka 1. Naamini deni lako likashuka sana ukitoa ambayo umeshalipa naamini deni lako litakuwa chini ya mil 5.

Baada ya hapo nenda bank ya CRDB ama NMB (nashauri CRDB kwa sababu wana riba ndogo ukilinganisha na NMB) ongea nao walinunue hilo deni angalau kwa mil 6 wakulipie na ubaki na cash kama mil 1.
Baada ya hapo makato yako yawe 236,000, ili wewe ulipe chini ya mil 7.5 kwa miezi 30 (miaka 2 na miezi 6)

Hii itakusaidia kupunguza kipindi cha ukata kutoka miaka 4 na miezi 5 hadi miaka 2 na miezi 6
Pia italipunguza deni lako kutoka mil 11 mpaka mil 7.5 na utakuwa umepata 1mil cash kwa ajili ya mtaji wa biashara ili Kupunguza ugumu wa maisha hapo home. kama wife yupo basi asikae tu home mpe hata 200k kwenye hiyo 1mil aanze kujishughulisha kwa mtaji wa 100k ili msosi usikosekane hapo home

Kama wewe siyo mtu wa biashara basi fuundisha masomo ya ziada ama endesha hata bodaboda.

Usijichukie wala kujilaumu sana juu ya tatizo lako bali lichukulie Kama somo kwako ili siku nyingine usijichanganye tena
Mkuu umechanganua vizuri mno nimescreenshot Ili nitafakari vyema juu ya Hili ahsante sana

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimekuonea huruma sana.
Tatizo ulikopa bila kuwa na elimu (uelewa) ya ukopaji.
Haukupiga haukufanya analysis ya faida na hasara ya kuchukua hiyo mikopo. Wewe u uliizingatia faida ya muda mfupi ya kutatua shida zako bila kuzingatia athari za muda mrefu zitakazoletwa na huo mkopo.
Mbaya zaidi ulikopa kampuni ya kwanza pato lako likashuka haukustuka ukaenda kukopa kampuni nyingine tena.

Kuna vitu vitatu vikubwa ya kuzingatia unapokopa mkopo.
1. Mkopo unaenda kuufanyia nn. Je unaenda kuuzalishia (kuongeza kipato) ama unaenda kutatulia jambo lisilozalisha. Kama ni jambo lisilozalisha jua huo mkopo unaenda kushusha kipato chako
2. Muda wa marejesho. Kama mkopo ni wa biashara basi unaweza kukopa mkopo wa muda mrefu bila shida maana mzigo unakuwa kwenye biashara siyo kwako. Lakini kama ni mkopo binafsi basi muda wa mkopo unapaswa kuwa mwaka 1 ama 2 mwisho kabisa miaka 3.
3. Aina ya riba(rate) ya mkopeshaji. Unashauriwa kukopa kwa compound interest badala ya simple interest. Uzuri wa compound interest ni kuwa kadri deni linavyopungua na riba nayo inapungua ila kwenye simple interest riba huwa inabaki vile vile.

ANALYSIS FUPI YA DENI LAKO
Kwa deni la letshego na kiasi unachokatwa bado miezi 53 ( miaka 4 na miezi 7) ndio liishe. Hivyo utalimaliza mwaka 2028 mwezi wa 7
Kwa deni la bayport na kiasi unachokatwa bado miezi 41 (miaka 3 na miezi 5). Hivyo utalimaliza 2027 mwezi 5.
Hivyo basi safari ya maumivu makali bado ni ndefu sana. Ukizingatia kwamba ukijitahidi sana utapanda daraja mwaka 2026 ama 2027. Hivyo hakuna uwezekano wa mshahara kuongezeka zaidi ya hiyo sh 10,000 ya annual increment.

USHAURI
Kwa sasa jumla ya deni lako ni 10,900,066.47 ≈ mil 11na jumla ya makato yako ni 219,923 ≈ 220,000
Hivyo
Kwanza kabisa ongea na hizo kampuni waambie umepata pesa na unataka Kupunguza muda wa marejesho. Ili wakupigie riba ya mwaka 1. Naamini deni lako likashuka sana ukitoa ambayo umeshalipa naamini deni lako litakuwa chini ya mil 5.

Baada ya hapo nenda bank ya CRDB ama NMB (nashauri CRDB kwa sababu wana riba ndogo ukilinganisha na NMB) ongea nao walinunue hilo deni angalau kwa mil 6 wakulipie mil 5 na ubaki na cash kama mil 1.
Baada ya hapo makato yako yawe 236,000, ili wewe ulipe chini ya mil 7.5 kwa miezi 30 (miaka 2 na miezi 6)

Hii itakusaidia kupunguza kipindi cha ukata kutoka miaka 4 na miezi 5 hadi miaka 2 na miezi 6
Pia italipunguza deni lako kutoka mil 11 mpaka mil 7.5 na utakuwa umepata 1mil cash kwa ajili ya mtaji wa biashara ili Kupunguza ugumu wa maisha hapo home. kama wife yupo basi asikae tu home mpe hata 200k kwenye hiyo 1mil aanze kujishughulisha kwa mtaji wa 100k ili msosi usikosekane hapo home

Kama wewe siyo mtu wa biashara basi fuundisha masomo ya ziada ama endesha hata bodaboda.

Usijichukie wala kujilaumu sana juu ya tatizo lako bali lichukulie Kama somo kwako ili siku nyingine usijichanganye tena
Safi sana umechanganua vizuri
 
Back
Top Bottom