Waajiriwa mnaotaka kujiendeleza kupata shahada ya kwanza, mtaikumbuka CHADEMA

walimu wa diploma za arts wanaotaka kujiendeleza kusoma shahada hakuna mkopo hakuna nendeni mkakope benki msome
 
Wanaambatanisha na kadi ya chama wakiomba mkopo ama? Tujuzane nami nifukuzie kadi japo nikipata mkopo nitaichoma.
 
Lipotezee. Tena liambie makonda kamtangazia vita. Ajiandae kuikimbia dar. Ccm mlijenga ofisi gani zaidi ya hizi tulichangishwa kabla ya 1995? Usijesema ya kizota kwani ipo tangu Nyerere akiwa mwenyejiti 1977. Uwe unasoma historia ya chama chako.
Kwa hili namuunga mkono makonda
 
serikali imeamua kufanya hivyo kuwapatia fursa wanaotoka mashuleni na wale ambao hawana ajira kuweza kupata mkopo na kujiendeleza
 
Hapo chacha. NA hiyo chamtoto. Tusubiri jinsi VAT itakavyoanza kung'at a watu pamoja ukosefu wa Tourism income baada ya watalii kupitisha safari zao kuja
 
Hili lisenge linanikera kila post oh chadema hawana ofisi, hapa wametaja ofisi

Hao ndio aliosema Makonda atapambana nao kuhakikisha wanaisha hapa town, kwaiyo mkuu asikuumize kichwa,cku zao zinahesabika na iyo michezo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…