Ni ajabu Waafrika pia tunalalamika mara Trump yuko sawa, mara sijui tuko hivi, sasa mnamlalamikia nani?
Mimi nafikiri moja kati ya mambo ambayo Mzungu alifanikiwa kwetu ni kutuondolea kujiamini, kwa kifupi sisi ni Watoto wa Muzungu kwa maana Muzungu katulea na ndiyo maana tukigombana hatuna uwezo kutatua matatizo tunarudi kwao kutafuta usuluhisho!
Kama ulishawahi kukaa na watoto wadogo labda wawili utaona hawana uwezo wa kutatua matatizo watacheza pamoja lkn wakigombana utaona hakuna mshindi ni lazima wewe mkubwa uingilie ndo waelewane tena na mara nyingi inachukuwa nusu dakika tu labda unawadanganya pipi wanaanza kucheka kusahau hata walichogombania na kuendelea kucheza na kukupa amani!
Siyo Afrika pekee ndo ina matatizo ni Dunia nzima, kwanza kuna Wachina wana maisha magumu kuliko wengi wetu sisi lkn huyakabili na huwezi kusikia wakikimbilia kwa Muzungu kutaka kupatanishwa, angalia Korea Kaskazini na wanayopitia hivi ingekuwa sisi Watoto wa Muzungu ndo Wakorea ingekuwaje?
Mnajua Wazungu walimwaga mavirus Korea wanaita biological warfare Wakorea wakafa wakajipanga wakaingia lab wakatengeza kinga na sasa wanaishi?
Ulishasikia Mkorea anajali Muzungu kamuita jina gani?
Hivyo sisi ni Watoto wa Muzungu na ndiyo maana tunajali anachosema Muzungu kama alichosema Trump angesema Mchina wala isingekuwa ishu, ...
Siyo Mzungu tena, sasa ni Muzungu?Muzungu ni Muzungu hilo halihitaji maelezo!
Pita kwenye link hapo unaweza kujua maana yake kwa kiwango fulani.Mzungu ni nani?
Link imeleta maswali kuliko majibu.Pita kwenye link hapo unaweza kujua maana yake kwa kiwango fulani.
Mzungu - Wikipedia, kamusi elezo huru
Babu na bibi zetu walipoanza kulitumia hili neno kwa watu wa bara la ulaya walipokuja kwetu AfrikaLink imeleta maswali kuliko majibu.
Kama hatuwezi kusema wazungu ni watu wa Ulaya, wazungu ni nani na unawezaje kujua mpaka wa wazungu na wasio wazungu?
Kwa mfano. Warusi ni wazungu au si wazungu? Waturuki ni wazungu au si wazungu? Waromania ni wazungu au si wazungu? Waturuki ni wazungu au si wazungu?
Kwa kuwa hili neno mzungu halina uhusiano wa uasilia na bara la Ulaya au Uropa ina maana lililenga hasa kumuainisha mtu kutoka huko ulaya kwa tabia yake na si kwa utaifa wake. Kwani katika kiswahili tunawanasibisha watu kutokana na sehemu walizotoka mfano:-Link imeleta maswali kuliko majibu.
Kama hatuwezi kusema wazungu ni watu wa Ulaya, wazungu ni nani na unawezaje kujua mpaka wa wazungu na wasio wazungu?
Kwa mfano. Warusi ni wazungu au si wazungu? Waturuki ni wazungu au si wazungu? Waromania ni wazungu au si wazungu? Waturuki ni wazungu au si wazungu?
Watu wanaotoka bara la Ulaya ni nani?Babu na bibi zetu walipoanza kulitumia hili neno kwa watu wa bara la ulaya walipokuja kwetu Afrika
Kwa kuwa hili neno mzungu halina uhusiano wa uasilia na bara la Ulaya au Uropa ina maana lililenga hasa kumuainisha mtu kutoka huko ulaya kwa tabia yake na si kwa utaifa wake. Kwani katika kiswahili tunawanasibisha watu kutokana na sehemu walizotoka mfano:-
1-Tanzania - mtanzania
2-Afrika - muafrika (mwafrika)
3-Uarabuni - muarabu (mwarabu)
4-Uingereza - Muingerza (mwingereza)
5-Marekani - Mmarekani
6-China - Mchina
7-Uholanzi - muholanzi au mdachi.
Mtu kutoka bara la Ulaya/Uropa tungeweza kumuita muulaya/muuropa lakini haijafanyika hivyo kwa kuwa alikwishajulikana kama mzungu, hivyo watu wote wanaotoka bara la ulaya tunawaita wazungu.
mzungu | Ufafanuzi katika Kiswahili - Oxford Living Dictionaries
You mean britons with african origin?Watu wanaotoka bara la Ulaya ni nani?
Are black britons "wazungu" ?
All britons have African origin. Because all humans have African origin.You mean britons with african origin?
😀All britons have African origin. Because all humans have African origin.