Mimi Ni mwanafunzi WA kidato cha NNE nikiwa kidato cha tatu niligundua website kwa ajili ya kusomea wanafunzi WA sekondari website hiyo Ni www.elimuyetu.co.tz
12. ................................
Ndiye mwafrika wa kwanza Rais kufanya safari zake nyingi nje ya nchi kuliko ndani. Kwa lengo la kufanya selfie na wazungu .
Amesahaulika hapo Prof Shaba(aligundua ugonjwa wa ini kama sikosei) na Prof Wangari Maathai(alikuwa na mahaba na mazingira) na Nyerere (alianzisha falsafa muhimu duniani ya Education for self reliance).
Mimi Ni mwanafunzi WA kidato cha NNE nikiwa kidato cha tatu niligundua website kwa ajili ya kusomea wanafunzi WA sekondari website hiyo Ni www.elimuyetu.co.tz