Haujakatazwa kwenda porini, kutupa hicho ki-Tecno chako na kuishi maisha ya kiporipori pamoja na familia yako. Huyo hautabugudhiwa na hela wala elimu.Mlikurupuka kuingia kwenye mifumo wa wazungu ... Tungebaki na uhuru bila mifumo ya wazungu ,kama hela na elimu.
Hata sasa mimi ni daraja la mwisho hapa nchini hongera wewe upo daraja la kwanza endelea kula mema ya nchi.Kwamba hao Great Britain ambao wanashindwa mambo yao sasa na Ulaya kwa namna moja au nyingine ndio wangeweza kuendelea na kuendeleza makoloni ?
Wala hawakuhitaji kufanya hivyo sababu sasa hivi tunawapelekea rasilimali na marginalization haijaisha bado inaendelea..., Kubadilisha a Worse Leader na kuweka Worst does not mean mabadiliko hayakuhitajika...
By the way unless wewe ni muhindi, muarabu au mzungu basi kumbuka katika category ulikuwa ni daraja la mwisho (is that what you prefer)? Hata kama ulikuwa muhindi basi ulikuwa a second class...
In short wakati wa ukoloni wa moja kwa moja ulipita it was no longer viable...
Hamna stress wala kauli zakuitana maskini.Mngekuwa kama wahadzabe
Sasa unalia nn?Haujakatazwa kwenda porini, kutupa hicho ki-Tecno chako na kuishi maisha ya kiporipori pamoja na familia yako. Huyo hautabugudhiwa na hela wala elimu.
Singapore ipo commonwealth.Wazee wetu walikuwa sahihi kudai uhuru, maana hao wakoloni hawakustahili hata kututawala. Kwa ujanja wao Wakoloni hawakutoa uhuru kamili; walitoa nusu au robo. Tazama Wafaransa wanachofanya kule Afrika magharibi. Wengine tukawekwa chini ya Commonwealth....Why?
SA ile nchi imeoza tayariNakubaliana na wewe mtoa mada!
Ukiangalia Zimbabwe ya Muingereza na hii ya sasa ni mbingu na ardhi. Ya sasa imechakaa wananchi wamechoka hawafai
Ukiangalia Afrika Kusini ya Mkabulu na hii ya sasa ni mbingu na ardhi. Ya sasa haifai si kimaendeleo si kiusalama.
Same to sisi, Kenya na hata mataifa mengi.
Alafu angalia Australia, Canada, New Zealand ambazo ziliamua kuwa sehemu ya makoloni yao zIlivyo kimaendeleo
Wakoloni hawakwepeki iwe kwa uzuri au ubaya.Kwamba hao Great Britain ambao wanashindwa mambo yao sasa na Ulaya kwa namna moja au nyingine ndio wangeweza kuendelea na kuendeleza makoloni ?
Wala hawakuhitaji kufanya hivyo sababu sasa hivi tunawapelekea rasilimali na marginalization haijaisha bado inaendelea..., Kubadilisha a Worse Leader na kuweka Worst does not mean mabadiliko hayakuhitajika...
By the way unless wewe ni muhindi, muarabu au mzungu basi kumbuka katika category ulikuwa ni daraja la mwisho (is that what you prefer)? Hata kama ulikuwa muhindi basi ulikuwa a second class...
In short wakati wa ukoloni wa moja kwa moja ulipita it was no longer viable...
Kwahyo utofauti hauuoni kabisa??Sasa hivi mnabadilishana dhahabu na kondomu endeleeni kutombana sana wenzenu wa Asia wanakimbia kwa kasi ya 6G