Waafrika tuache ushamba!

Waafrika tuache ushamba!

damtanzania

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
752
Reaction score
1,465
Hope weekend yenu ipo poa,
Jamani, sielewi kwanini waafrika hatujikubali. Na sielewi lini tutaamka na kuanza kujielewa. Nime observe tatizo hili tumerithishwa na tunawarithisha vizazi vyetu e.g pale tunapo nunulia mabinti zetu midoli ya kizungu. Tayari unapanda mbegu fulani kichwani mwao kuwa uzungu ndio deal. Na sidhani hata siku moja kama ataona thamani ya kuwa mwafrika. As a result akikuwa atajichubua, ata taka kufanana na mzungu kwa kila hali.
Nafikiri tujitahidi kujithamini tulivyo
 
Ni hatare yaan bidhaa ikiwa made in Tanzania,kenya,uganda,Burundi mtuu hanunui ila akiona tu made in England ,spain , Germani mbio mtu ananunua na hatima yake tumekuws wajinga hata tukitengeneza vitu vyote utaona tuna andika made in England,Spain wakati tumetengeneza wenyewe ni shydah yaaan
 
Ndio sababu nina love hate relationship na fiesta. Negatively naona kama zimekuwa nyingi sana, positively inatoa mwako wa utaifa kwa vijana wa kesho only lacking propaganda messages in between and finally the dilemma unaweza vipi washauri wasanii wawili watatu maarufu waimbe nyimbo za kulisifia taifa lao.

Oh yeah na bwana Kusaga aje na mbinu za kumprote utamaduni mkubwa wa kitanzania in the midst of fiesta pengine Tshirts zenye vivutio, bendera na mengineo na kutafuta sponsor ambao ni wazalishaji wakitanzania zaidi ya kampuni la bia. Fiesta is a blessing in the disguise ingawa nina wasiwasi na message nyingi za sasa naona kama vile zina promote western thinking largely in terms of cultural za nyimbo, mavazi ya wasanii its time sasa wahusika wajaribu kuiweka unique to fit our audience whilst promoting what's our positively.
 
Yaah yaani ni tabu tupu kwa kweli
 
tena ile midoli ya teddy bearinauzwa mpaka basi

Yaah tena saa hizi ukiwa nalo hilo ndio sifa, we unaonekana emeendelea. Kwa kufupi tuna rudishwa utumwani bila ya kengele
 
Ndio sababu nina love hate relationship na fiesta. Negatively naona kama zimekuwa nyingi sana, positively inatoa mwako wa utaifa kwa vijana wa kesho only lacking propaganda messages in between and finally the dilemma unaweza vipi washauri wasanii wawili watatu maarufu waimbe nyimbo za kulisifia taifa lao.

Oh yeah na bwana Kusaga aje na mbinu za kumprote utamaduni mkubwa wa kitanzania in the midst of fiesta pengine Tshirts zenye vivutio, bendera na mengineo na kutafuta sponsor ambao ni wazalishaji wakitanzania zaidi ya kampuni la bia. Fiesta is a blessing in the disguise ingawa nina wasiwasi na message nyingi za sasa naona kama vile zina promote western thinking largely in terms of cultural za nyimbo, mavazi ya wasanii its time sasa wahusika wajaribu kuiweka unique to fit our audience whilst promoting what's our positively.

Uzungu huu ndio unao zidi kuaribu vijana wa taifa letu. Zamani kitendo cha mwanaume kusuka na kuvaa hereni ilikuwa ni aibu. Lakini cheki vijana wa leo wanavyokuwa. Ukija kwenye vyakula ndio usiseme, tumeacha vyakula vyetu vya asili ambavyo vilikua vinatukinga na maradhi, badala yake tunakunywa misoda, masoseji chipsi mayai na mengineyo. Matokeo yake ndio hayo makansa, presha na sukari kila kona. Wenzetu ni wajanja sana, wanakula hivyo sawa, ila kila baada ya mlo unakuta wanameza dawa za kuwapa virutubisho. Sie wapi?
 
Wee acha fitna!...kwani wamaasai hawavai herini na kusuka nywele miaka nenda rudi....kwanza ni wewe ndiye uliye asi tamaduni kwani jamii karibu zote za kiafrika tangia zama zile zilikuwa na tamaduni za kuvaa herini,mikuku,uchoraji mwili(tatoo/cuts) na kadhalika.
 
Back
Top Bottom