Mabadiliko ya tabia na mwenendo wa wanadamu kila uchao, je utandawazi ndo unatuathiri ama ni hisia za mtu kupandisha/kumsha mori?
Kizazi kilichokaidi maadili ya kiafrica, hapo kale ilikuwa ni vigumu kuona maumbile ya m...ke hadharani, hata kumgusa hadharani ilikuwa unaadhibiwa leo hii