Waache apumzike jamani

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
Muacheni wajameni
 

Attachments

  • 1449498426636.jpg
    38.1 KB · Views: 1,330
Huyo cartoonist amekosea asingeonyesha JK amejibu kwa jibu la kimtaani namna hiyo sasa mwandishi kuandika "kamuulize baba ako" hiyo kauli haijakaa sawa aliyekuwa mkuu wa nchi kuiongea.
 
Huyo cartoonist amekosea asingeonyesha JK amejibu kwa jibu la kimtaani namna hiyo sasa mwandishi kuandika "kamuulize baba ako" hiyo kauli haijakaa sawa aliyekuwa mkuu wa nchi kuiongea.

 
MeinKempf vipi mbona una quote post yangu na picha tena?...... au unaonyesha msisitizo mkuu?
 
Ila huyu jamaa hilo jibu linaendana na majibu aliyokuwaga akiyatoa enzi za ulaji wzke
 
jk:kuhusu makontena bandarini mimi sijui,aulizwe mwakembe au sitta..Mimi kazi yangu ilikua kufuatilia wauza unga ili nifahamu majina yao ili niwahakikishie ulinzi wajasiria mali hawa
 
Huyu mtu sidhani kama kweli hata kama anajuwa wajibu wake hapa nchini.....usikute bado anadhani yeye ni rais mpaka sasa. Hafai kabisa hata kuonekana hadharani.

Haaaaaaaaaa umenena kweli kabisa mkuu!
 
Huyo cartoonist amekosea asingeonyesha JK amejibu kwa jibu la kimtaani namna hiyo sasa mwandishi kuandika "kamuulize baba ako" hiyo kauli haijakaa sawa aliyekuwa mkuu wa nchi kuiongea.

Naona mchora katuni ameweza kufikisha alichokitaraji kwa muafaka kabisa, na usije siku nyingine ukasema mbona Magu wamemkosea wamemchora na kidevu kirefu hvyo!
 
Hahaaaaaaaaa asante sometimes kucheka si mbaya kama una 7bu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…