Waaaaw!

Changamkia tenda hiyo, mkuu!
 
kuwa makini-hapo west africa kuna scammers wengi sana-michakto yao ipo hivi hivi-nilishakutana na ujumbe unaoendena na huu kipindi cha nyuma kidogo
 
haya mambo si ya mchezo nashukuru kwamba hawa jamaa wanamajina wanayoyapenda. leo nimepata ujumbe kama huo ulioupata mwaka 2009. ovious is a scammer
 
Uuuuuwwii,i'm among the victims. Hao jamaa ni wezi hamna mfano,me nirikurupuka nikawajibu ila nikaja gundua ni wezi nikafunga akaunts zangu zote by that time. Usirespond
 
Wizi wa hivi bado upo? Chunga sana utaibiwa mchana kweupee!
 
fanya kazi kwa bidii utapata kaka,achana nao wapopo hao hawana mpango
 
<br />
<br />
Kwani wewe unakawaida ya ku2mia western union? Kama ndo hivo nenda ofisiza posta waoneshe hiyo kitu. B ut watu wa magharibi wamesoma sn hawana kazi. Kwa hiyo huo ndo urefu wa kamba zao.
 
Kudadadadadadadecky!!hao hawafai kabisa...BUT JARIBU...
 
Hebu subiringi kwanza, mwanzilishi wa habari hii Nidugu Ezan kaomba atafsiriwe barua alioipata maana Kiingereza kimemwendea tenge - sasa naona hadithi ndefuuu na inaelekea hajafamu kitu

Ezan - Tafsiri ya barua hiyo ni hapa chini (hisani ya Google.com - Tafsiri Kabambe!!!!!):

Attn: Mheshimiwa walengwa.

Dear walengwa,

Sisi hapa kukujulisha kwamba jumla ya dola za Marekani 850,000.00 ilitokana na tuzo na wewe kwa Western Union Foundation kama mmoja wa wateja wetu ambao hutumia Umoja wa Magharibi katika biashara ya shughuli zao.

Tuzo hii ilikuwa imekuwa kuchaguliwa kwa njia ya mtandao, ambapo wako anwani ya barua pepe ilikuwa imeelezwa na notified.The Western Union Foundation, Burkina Faso kukusanya anwani ya barua pepe ya watu wote kuwa ni kazi online, kati ya mamilioni ya wateja wetu ambao kutumia Western Union katika biashara zao watu transactions.Two ni kuchaguliwa mwezi kufaidika na kukuza hii na wewe ni mmoja wa Washindi Selected.

Sasa tuna mpangilio wa malipo yako ya Nane Hundred na Maelfu hamsini United State Dollars (US $ 850,000.00) kutumwa kwa ninyi kwa njia ya Western Union Money Transfer. Tutakuwa kutuma fedha kwa wewe via Western Union Money Transfer, kiasi utapata kwa siku ni $ 19,000 Kama Tuna alihitimisha kwa athari ya malipo yako kwa njia ya Western Union Money Transfer.You itakuwa kuokota $ 19,000 kila siku hadi dola za Marekani 850,000.00. Ni kukamilika.

Wewe ni required kuwasiliana Western Union Money Transfer Ofisi ya kupitia barua pepe au simu kama Bellow waliotajwa kwa ajili ya kutolewa kwa haraka kwa fedha yako na wewe.

Mtu wa kuwasiliana: Mr.Alexander Wade,
Mkurugenzi wa Operesheni, Western Union,
Burkina Faso, Afrika Magharibi.
Simu: 226 76 168 413
E-mail: alexx.willi9 @ sify.com

Mwambie kukupa habari kuhusu malipo kamili, ikiwa ni pamoja na idadi MTCN, jina Sender, maswali na majibu kwa ajili ya wewe kuchukua malipo yako ya kwanza ya Dola $ 19,000.00.

Kumwuliza kutuma kwa uthibitisho, hati ya umiliki wa Mfuko. Ni kwa ajili ya wewe kuwa na uhakika kwamba mfuko ni yako. Kuhakikisha kutuma habari kuhusu yafuatayo kwa Afisa Western Union na kumwezesha mchakato wa malipo yako:

Jina lako Kamili:
Nchi:
City:
Namba ya simu:
Kazi:
Umri:

Kuzingatia sasa kwa sababu mara tu kutuma juu ya maelezo required Mr.Alexander Wade, ataanza kutuma malipo yako ya barua pepe kwa Western Union Money Transfer.His kuwasiliana ni (alexx.willi9 @ sify.com).

Wako mwaminifu,
Usimamizi, Western Union Foundation.
Website: ttp: / / foundation.westernunion.com /
 
Mzee changa la macho hilo..........kama unabisha contact nao.........then wasikilize.........watakwambia mara tuma kiasi fulani cha pesa ili waweza kukutumia hela zako........ukituma tu huwasikii tena.........test uone mzee
 
Nadhan ushatafsiriwa sasa, kama ni mtumiaji mzuri wa Western union wasiliana na wakala wa TZ kujua kama kuna kitu kama hyo kama ndiyo basi wao ndio wawasiliane na hao jamaa we upewe pesa vngnevyo hyo ni taarifa ya msiba ipokee vbaya ikulize
 
kaka chunga hakuna chabure duniani fanya kazi ndio upate pesa labda kama wewe ni mcheza kamali lakini kwa jinsi nilivyosoma hakuna chako hapo ni wasanii wa kimataifa hao

fikiria kitu kingine cha kupata pesa kama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…