Waaaaw! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waaaaw!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mvaa Tai, Jan 4, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280

  Wana Jf tafadhali naomba kutafsiriwa hii taarifa maana kiingereza sikiwezi nimetumiwa mda si mrefu ila nahisi kama nimeshinda mahela.
  ATTN:Honourable Beneficiary.

  Dear Beneficiary,

  We are here to notify you that the sum of US$850,000.00 was generated and awarded to you by the Western Union Foundation as one of our customers who use Western Union in their business transaction.

  This award was been selected through the internet, where your e-mail address was indicated and notified.The Western Union Foundation,Burkina Faso collects all the email addresses of the people that are active online,among the millions of our customers who use Western Union in their business transactions.Two people are selected Monthly to benefit from this promotion and you are one of the Selected Winners.

  Now we have arranged your payment of Eight Hundred and fifty Thousands United State Dollars(US$850,000.00) to be sent to you through Western Union Money Transfer. We will be sending the money to you via Western Union Money Transfer, the amount you will receive per day is $19,000.As We have concluded to effect your payment through western union Money Transfer.You will be picking up $19,000 daily until the US$850,000.00 is completed.

  You are required to contact the Western Union Money Transfer Office via email or phone as listed bellow for an immediate release of your funds to you.

  Contact Person:Mr.Alexander Wade,
  Director of Operation,Western Union,
  Burkina Faso,West Africa.
  Phone:+226 76 168 413
  E-mail:alexx.willi9@sify.com

  Tell him to give you the full payment informations,including the MTCN number,Sender name,Question and answer for you to pick up your first payment of $19,000.00 Dollars.

  Ask him to send to you a proof, the ownership certificate of the Fund. It is for you to be sure that the fund belong to you. Make sure you send the following informations to the Western Union Officer to enable him process your payment:

  Your Full name:
  Country:
  City:
  Phone number:
  Occupation:
  Age:

  Comply now because as soon as you send the above required details to Mr.Alexander Wade, he will start sending your payment by Western Union Money Transfer.His contact email is(alexx.willi9@sify.com).


  Yours Faithfully,
  Management,Western Union Foundation.
  Website:ttp://foundation.westernunion.com/
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wewe Ezen inawezekana umeagana na umasikini,fuatilia kwa makini !
   
 3. czar

  czar JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chunga sana kuna jamaa wanakaa UK na Ulaya ndo kazi zao hizo. Usijaribu kuwapa account yako ya benki utashangaa mwenyewe. Mihela mingi ivo ujulishwe kwa e-mail jiulize?
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Acha kumtisha bana,kijana amebahatika!!!
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  Aisee sikukatishi tamaa ila yawezekana ni utapeli tu, hy foundation yawezekana ipo lakini napata wasiwasi juu ya ukweli wa hilo, jiulize je uliwahi kutumia huduma za western union hata mara 1? Lakini kama kuna office za western union karibu nenda kapata uhakika watakuwa wanajua lolote juu ukweli wa hilo, watu wa magharibi mwa africa wanaweza sana utapeli! Nnachojua watakwambia utume 1 mil ili waanze taratibu za kukutumia hy fund....angalia isile kwako!
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huo ni wizi mtupu, kijana chunga sana, kama unabisha nenda ofisi za Western Union Dar. Watakueleza, na mradi ushaanza kupata hiyo, zingine kama hiyo zitafatia. Matapeli hao.
   
 7. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  No pain no gain i think hamna kitu apo, Don't give yourself so much hope. Soma vizuri post ya Babaubaya ifanyie kazi :A S-alert1:
   
 8. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  hawa si wasanii wa kimataifa, itafika mahali utaambiwa ulipe a certain amount kama fees ukishalipa ndo umtakua mmeagana, niliwahi kupata moja wakisema nimeshinda UK pound laki tisa na hela ziko RBC bank ya uk niliikopi hiyo barua yao, nika google original RBC bank nika i paste .
  Nilipata jibu mara moja kwamba nisiendelee na mawasiliano nao, nika chukua jibu la original RBC nikawaforwardia hawakurudi tena, nahisi walinitukana.
   
 9. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahah watu bwana hujacheza lotto,hujaifanya kazi wap upate mihela yote hio??? za kuambiwa changanya na zako!!!!!
   
 10. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kali
   
 11. KIPANYA

  KIPANYA Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndugu yangu kama wataamua tu kukuingizia wakuingizi ila wakisema tu tunaomba ac.no yako sijui uchangie kiasi fulani kukamilisha transaction wapotezeeeeeee ndugu yangu kama mihela waiingize kupitia hiyohiyo WU
   
 12. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  online scams zipo kibao wacheni kumdanganya mwenzenu sijui aende WU...kufanya nini???kupoteza nguvu na wakati tu bureee
   
 13. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa nadhani alikuwa amefurahi sana
   
 14. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Goggle Ebola Monkey 419 scams. utaipata vizuri
  But welcome to the world of internet
   
 15. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mbona wengi tu wameshawahi kupata email za kitapeli hivyo zinazoahidi mbingu? Wachana nao usiingizwe mkenge.
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [Burkina Faso,West Africa.
  Phone:+226 76 168 413
  E-mail:alexx.willi9@sify.com

  Tell him to give you the full payment informations,including the MTCN number,Sender name,Question and answer for you to pick up your first payment of $19,000.00 Dollars.

  Ask :

  Your Full name:
  Country:
  City:
  Phone number:
  Occupation:
  Age:

  Once you start contact these people ooh !You r done oooh!

  You ll either lose all your savings ooh or get loss which you ll never recover ooh .

  You ll come back here crying oooh!

  Those popos are no good ooh.

  I have been receiving such informations for some time but i do ignore ooh!

  So it is your choice ooh!
  Good luck my boy ukipat mzigo katibu huo ukurutu uson
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  halafu unaona address kabisa ya west africa na wewe unashangilia unaingizwa mjini kaka hapo ukiwasiliana nao itafikia stage utaambiwa utume pesa kidogokm dola 200 ukituma tu basi hutawasikia tena hao jamaa.
   
 18. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CHUNGA SANA NDUGU YANGU KUNA MITAPELI YA KINIGERIA NA MINGINE YA UK NA AMERICA IMEBUNI MBINU ZA KITAPELI ''''' Dont give them any details= usiwape taarifa zako zozote'''
   
 19. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Umeataki pasonaliti yangu nitake radhi
   
 20. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  pole sana, ineonekana u ar so naive, unategemea kulala na kuamlka na kuwa tajiri weee thubutu, yaani bao hujayajua maisha kaka, it come out of strugle and hard work + determination

  wee achana na haya mambo wewe upewe hela zote hizo umefanya kazi gani... mzee unatapeliwa achana nao
   
Loading...