Wa sasa nimekosa yake

Huyo wa pili na wa nne ni vilaza haijawahi kutokea
 
1 na 3 ni nafuu lakn 2 na 4 ni mahututi hoi bin taaban
 
Ngoja amalize ngwe yake achape lapa tufanye ya maendeleo

mh!! wakimaliza inabidi tusherekee kwa sababu inaonekana wana utawala wa kifalme wa kurithishana madaraka. Utashangaa mamvi akitoka anarithishwa riz 1
 
mh!! wakimaliza inabidi tusherekee kwa sababu inaonekana wana utawala wa kifalme wa kurithishana madaraka. Utashangaa mamvi akitoka anarithishwa riz 1

Hatutakubali upuuzi kama huo aslani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…