Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Sasa hivi JF inabidi uwe bingwa wa matusi kwa mada nyingi . Mkristo mini na matusi ni Mashariki na MagharibiAl-Watan na Kiranga ni watu tofauti kabisa, mungekuwapo enzi hizo waki-battle jukwaa zima linatulia kimya!! Nimemisi Beto la manguli hawa! Pamoja na Stefano Mtangoo Kiranga alikuwa ni jeshi la mtu mmoja! Miss him guy