Wa "Mikoani"

Hivi wa Dodoma tutakuwa tunawaitaje baada ya dom kuwa jiji?
 
apo kama majengo dodoma
 
Kuna jamaa hapo kaketi chini barabarani. Aisee ni mimi pekee yangu namuona au? [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Huku mikoani tumezoea kuona matukio haya ya kujituma....tuwekeeni tena vijana wa Dar wakicheza rede, na kukuna nazi.....tunataka kucheka jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…