Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Habar ndo io, unakutana nae bar af unatka atulie? Me kwngu kwenye imani thabiti na mungu kwanz mengne baadae....

Wa kushika dini ndiye nilianza naye maisha huyu alikuwa na uwezo wa kunena kwa lugha kama wanavyosema wengine, baba yake aalikuwa mchungaji, nikasema hapa fresh, baada ya muda dah ah mziki sasa alianzisha kitu, kwanza kuchukua hela ndani na kumtumishia mama yake aanze ujenzi bila ya mimi kujua, badae kuhonga wanaume ana watongoza na anatembea nao nilivyomfumania kwa mesage aliyomwandikia mwanaume alichanganyikiwa ila mwanaume alikuwa mngwana alinambia alikuwa anahongwa na alisema sio yeye peke yake, mwanaume huyo alisema alikuwa anamshauri aachane na wanaume wengi baada ya kumtishia nitamshtaki kwa bosi wake, badae alikubali kulipa hela yote aliyohongwa na alinitumia akaweka kwenye akaunti yangu ya benki. kuanzia siku hiyo ahah nilisepa sina hamu nikajipangia chumba nisije nikafia ndani.Habar ndo io, unakutana nae bar af unatka atulie? Me kwngu kwenye imani thabiti na mungu kwanz mengne baadae....
Kwenye kila jambo kuna uncertainty ila washika dini/wachamungu ndo mpango mzimaNdugu yangu naona unahitaji semina elekezi kuhusu ndoa coz iko siku utakuwa disappointed na huyo unaemwita mshika dini
sasa mkuu yuko bize kuitafuta Peponi,,Hao walioshika dini ndio balaa kabisa. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu jinsi mama mke wa mtu mama ambae ni mama wa kanisa alivyogonganisha wanaume gesti. Ni aibu kubwa sana.
Hao walioshika dini ndio balaa kabisa. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu jinsi mama mke wa mtu mama ambae ni mama wa kanisa alivyogonganisha wanaume gesti. Ni aibu kubwa sana.