Wa kuitoa CCM madarakani ni CCM yenyewe

Wa kuitoa CCM madarakani ni CCM yenyewe

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
5,876
Reaction score
11,203
Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea.

Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani.

Na ndio maana alisema upinzani utatoka CCM maana nje ya hapo hakuona kabisa kwa mifumo ya nchi ilivyo.
 
Iko vile !
Na ndivyo itakavyokuwa !
Lini itaweza kutokea ? Hiyo haijulikani lakini kutokea hilo ni imminent 😳🤷🏿‍♂️ !
 
Kuna vyama Kama NSSR , Chadema na CUF na ACT n.k ni vyama ambavyo Mimi huwa naviita watoto wa ccm.

Vinafanya siasa za kijinga na matukio na vimeumiza Taifa kwa kuingiza Vijana katika siasa fake.
 
Back
Top Bottom