Wa Dada Wana Dharau

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Nimeumbuka Leo...

Me c House boy
Mtoto wa mama mwenye nyumba Leo katembelewa na rafk yake uyo rafk yake Mimi ni rafk yangu Fb kanikuta naosha vyombo... Tumegongana macho ngiiiii. ... kimenifyonya alafu kimenishusha kimenipandisha eti hehehe shoga kumbe huyu ni Punda wenu

yani wadada wanadharau

Mkuu vp ushampata dada yako??
 
Akafie mbele!!! Ata sio wa kujiumiza akili kwa ajili ya wapuuzi! Fanya yako mkuu muache na dharau zake.
Watu wengine wana nyodo kama wanannya dhahabu!!!
 
Back
Top Bottom